Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

Mama Wema ni ovyo kuliko hata mamake,
Mimi si mshabiki wa haya mambo ya kijinga ya watu wenye akili za chini kama mama Wema. Niliona clip ya matusi ya mama Wema nikashangaa.
Mi siwezi kuoa mkr ambaye mama yake anatabia kama ya limama Wema
 
Nimeipenda ulivyo admit hii kitu....me nampenda sana huyu binti lakin huyu mama anamuharibu sana bintiye.

Na hii clip imedhihirisha hlo

Sijapenda kabisa.. nilitumiwa jana whatsup jaman nilibaki mdomo wazi.. kakosa staha
Na alijua anarekodiwa ndio maana alikua anasema nyie team fulani..

Sikuimalizia kuangalia ni aibu
 
Hahahahaha duh kwa mama yeyote mwenye hekima na busara kamwe hawezi kusema aliyoyasema. Nimesikitika anaongea mpaka anajinadi kuwa yeye ni 56 lkn umbo lake ni la binti mdogo. Ama kweli wazazi wa kisasa kuna shida mahala flani. Inawezekana wengine kwasababu ya kukaa ktk jamii isiyo na maadili wameathirika kiasi kwamba hawaoni kama huyu mama amekosea. Tulitegemea kupata maneno yenye kujenga toka kwake na hakukua na haja ya yeye kufanya alivyofanya kwani ziko njia nyingi za kufikisha ujumbe.
 
Mie ndio maana kuna siku nilishangaa nilikua global kipindi habari ya Wema na mama ake kusoma albadili kumbe ye ndio alipeleka akataka itoke gazetin akawa anasema kabisaaa kwamba wanasoma al badil na hilo jambo wameongea na Wema wema kupigiwa akawa hana hata habari na hilo jambo ye akanganganiza litoke tena front page... kuna shida mahali aiseee
 

Tatizo wema hataki kukubali kuwa yeye ni maskini, elimu hana maisha hana, anataka kujifananisha na wanawake wengine waliosoma na wanaishi maisha ya kifahari kwa pesa zao wenyewe, yeye mpaka ahongwe na wanaume pesa ndo atanulie, what a shame? Unajiita star ata gari huna? Mpaka uhongwe na wanaume? Kama hao wanaume wanamuona wa maana si wangemtafutia kazi afanye aishi kwa jasho lake? Kazi kujifanya ana pesa wakat maskni wa kutupa, huyo mama ake nae kahaba tu aliyestaafu, ngoja team dengue ifanye kazi yake naona ile picha haijatosha
 

Huyu Mama kwakweli amekosea sana tena sana!
Wanasema ukitaka kumjua mtu mwenye busara jaribu kumtukana!
Tangia lini mtu mwenye busara akajibu matusi kwa matusi na kwa umri wake..!?

Pengine ni hasira lakini katika hili ameonesha madhaifu makubwa sana hasa akiwa kama Mama maana hadi watoto wana mzuia lakini hataki!
Hii ni fedheha na aibu!
 

Wema shule kasoma.... shule hakuikimbia.. sema maza ake ndio uswahili umempitiza vibaya saana
 

Mwanzo nilisikitika sana kuona huyu Mama kudhalilishwa sasa na shangaa na yeye kuchangia kujidhalilisha inatia aibu hii clip.....
huyu mama ana tatizo si bure...!
 
Unaweza kunambia kiwango chake cha elimu (licha ya kwamba sidhani kama elimu inahusiana na chochote kilicho kwenye tabia ya huyo mama yake)?

Elim ya wema haisuiani na mambo aliyoyafanya huyo mama....

Ila ana degree..
 
Mwanzo nilisikitika sana kuona huyu Mama kudhalilishwa sasa na shangaa na yeye kuchangia kujidhalilisha inatia aibu hii clip.....
huyu mama ana tatizo si bure...!

Ile picha kweli ilikua homa ya jiji maana hadi ye mwenyewe alilazwa... sema alivyoanza kutukana hadi mwanae akawa anamwambia mama basi.....

Alivyojibu sasa
 

Huyu Mama lazima ana tatizo si bure nimejaribu kuiplay hiyo clip kama Mara nne nikagundua kwanza ana matatizo ya

*kisaikolojia

* anapenda kuandikwa!

*Ana kiburi cha kupindukia

*Ashauriki....mpaka atimize anacho kitaka!

*pamoja na kukiri ana umri wa miaka 56 lakini hajui kama yeye ni mtu mzima

*Umri wake ameutaja kwa bahati mbaya halikuwa kusudi lake!

Huyu Mama ni kielelezo kibaya kwa Wema.....
Sasa nadhani watu watajua tofauti ya umri mkubwa na mtu mzima!
Aibu...tupu
 
Wema shule kasoma.... shule hakuikimbia.. sema maza ake ndio uswahili umempitiza vibaya saana

Hata diploma hana, achilia mbali degree, english ya academic ilimuokoa kwa kuwa anaongea kiingereza kizur ndo maana watu wanajua kasoma, alipelekwa Malaysia kusoma diploma shule ikamshinda akarudi bongo, akaingia bongo movie

Ebu tuambie wewe labda ana shahada ya mlimani, maana Tz hakuna kinachoshindikana, usikute ana degree ya uanasheria
 
Hahahaaa kama hujui sema tu hujui.

Sidhani kama huyo binti ana shahada na niko radhi kuweka paycheck yangu kwenye hilo.

Sijui digrii ya nini si ndio maana nikakimbia hayo maswali mengine.....

anayo mi nilisomaga na dada alikuaga katulia huyu... binti mpoleee balaa na kisauti chake akaja kungengeuka alivyoanza umiss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…