miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Nampenda Wema...
Lakin clip ya huyo mama sijaimalizia kuisikia hadi mwisho ni aibu.. kwenye makosa lazima tukosoe
Nimeipenda ulivyo admit hii kitu....me nampenda sana huyu binti lakin huyu mama anamuharibu sana bintiye.
Na hii clip imedhihirisha hlo