Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?


Hhhhhhaaaaaaa umenichekesha eti umri umepanda ghafla looo presha mbayaa eee
 
si kweli form four tuuu
academic international
shoga uns mahaba na wema hadi basss!!
alienda malaysia kusoma kachemsha hakumaliza tena ni course flani tu
degree anaisomeaga location tuu

Mmh aliishia form four unataka kusema hata form six hajafika....

Kawaida tu mbona sio kihivyo
 
Hhhhhhaaaaaaa umenichekesha eti umri umepanda ghafla looo presha mbayaa eee

Huyu Matoope ni kama jina lake mwanzo nilikuwa namshangaa sana lakini sikuhizi na Cheka sana nikiona post zake hata ndugu pdidy
 
Last edited by a moderator:
Hapa anatoa vitisho sijui kwa mapaparazi wa GP

 
Last edited by a moderator:
Hapa mama Wema akimponda Kajala

Hahahaa mama ana matusi huyu daaaah


Kuna muda hadi wageni waalikwa naona ka walianza kuguna.... anaita team dengue na anaisema hiyo dengue kama ilivyooo

Duh hapa mama alichemsha kwa haya maneno yake aiseee
 
Last edited by a moderator:
Kuna dada zake inakuaje wanashindwa kumkanya mama n binti wke ila mwisho wke c mzuri,tajiri na mali yke anafilisika yeye hata kibanda hana soon atabaki historia.mbna wenzke wana majumba ila kimya 2

Aisee yaan hapo kajijengea uaduii na hizo timu zao atashangaaa aisee sie yetu masikio mimi mama yangu hawez ongea hivyo hata siku mojaaa,na sijawah.msikiaa mtoto kama mama aisee kumbe hua tunamlaumu wema kumbe mama yake ndio hivyoo sasa hayo maswala ya shape kama ana miaka 12 ya ninii mtu mzima hivyoo,
Ndio maana nilisema Kajala kama ana akili amridishie zile milion zake atasimangwa mpaka basiii arudishe pesa wamalizanee
Eti kamuibia mume mume yupiii??? Mambo ya kipuuzi kabisaaa mbona ye alimuiba Sepetu kwan kajala wa kwanza kuiba hawara looo hii ni funga mwaka
 
si kweli form four tuuu
academic international
shoga uns mahaba na wema hadi basss!!
alienda malaysia kusoma kachemsha hakumaliza tena ni course flani tu
degree anaisomeaga location tuu

Kaishia form six hana degree si angeshaitaja siku nyingi kila mtu ajue akina jojo ndo aliposhiriki umiss aliunga na udsm hiyo degree ni kumpaisha baada ya umaarufu akakacha chuo
 
Halafu karusha bonge la tusi hapo....sijui hanisi malowani bilisi maliisi....? Hahahahaaa duuuuh
 
inawezekana hakutegemea maisha mazuri so bado ana ulimbukeni ule ule
sijawah msikia mama wa uwoya wala wolpa na makashfa ya uwoya kukimbia mme
mi nahis aliruka stage

Maza std 7 istoshe wema karithi kila ki2 kwa maza
 

Sitashangaa waliohudhilia walikua wanampigia makofi naye ndo akazidi morali
 

Kazi zenyewe hawezi kufanya ..CK alimfungulia endless fame ..alifanya kitu gani cha maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…