Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
maneno aliyoongea hayo mama ni ya busara mno , hakuna tusi hapo tena angepelekwa bunge la katiba angesaidia sana kutetea haki za wanawake, yeye na mwanaye wema ni tunu za taifa kabisa
ila nasikitika pressure aliyopewa wema mpaka umri wake umepanda ghafla kutoka 22 hadi 26...very bad..Iam dejected
Hhhhhhaaaaaaa umenichekesha eti umri umepanda ghafla looo presha mbayaa eee