Hajafika six wema..nmechek interview zake kibao baada ya 4 alienda Malaysia for dip ambayo cjui kama alimaliza
Mbona wengine wanasema kafika form six au nimeona vibaya?????
hadi sasa hatujapata uhakika wa elimu yake...
Malaysia alienda kusoma ila sijui what happened ndio kina Mange wali muunganisha u miss Tz baada ya hapo ndio ikawa tunayoyaona sasa...
Maatope na pdidy ni watu ambao wapo kipekee, hata huwatukane vipi wao watakujibu kistaarabu.
Historia ya wema unaijua vizuri.?? Kashiriki umiss baada ya kumaliza form four...akaanza umalaya..kukuruka na kina jumbe mara sijui jose mara....umalaya kumzidi ndo kapelekwa Malaysia na mama yake baada ya skendo kumzidi..mpk kupelekana mapolisi..kule Malaysia alipelekwa ili akakitulize...hakukituliza shule ikamshinda...upo.??? Hakuna cha degree wala diploma wala certificate
Wema ni age mate wa makinda...sasa sijui makinda ana miaka mingapi?
Sasa mama wa uwoya ushamuona.??? Ni mreeeembooo km uwoya uwii...very beautiful ss hili zee linajinad wakt soko lishakwishaa
MMMMMMMMMMMMh,mimi napita tu.
Nami najua ni hivyooo hayo mengine watu humpaisha tu kwaajili ya kuongea kiingreza
Hata hicho Kiingereza ushawahi kumsikia wapi akikiongea tuseme kwa nusu saa nzima, mwanzo mwisho bila kuchanganya na Kiswahili au kupatwa na kigugumizi?
Hapa mama Wema akimponda Kajala
Hahahaa mama ana matusi huyu daaaah
Mbona wengine wanasema kafika form six au nimeona vibaya?????
hadi sasa hatujapata uhakika wa elimu yake...
Malaysia alienda kusoma ila sijui what happened ndio kina Mange wali muunganisha u miss Tz baada ya hapo ndio ikawa tunayoyaona sasa...
Hata hicho Kiingereza ushawahi kumsikia wapi akikiongea tuseme kwa nusu saa nzima, mwanzo mwisho bila kuchanganya na Kiswahili au kupatwa na kigugumizi?
Ndugu yangu kwa bongo ukichanganya hivyo kiswanglish yaan ni unajua mno kizunguu chezea sie wabongoo
Wakati nae ni cha hivyo hivyo cha kunywea majii
Ndio maana waliosoma wakaelimika hawachanganyi hivyo kama ni kiinglish ni.kiinglish kama kiswahili ni kiswahili tuuu
Well said! Wana forum Naomba niseme Hivi.namheshimu mama wema Kama mama angu.kabla sijaonana na Huyu mama nilikua najiuliza Hivi wema Hana wazazi?angalau mzazi mmoja tu ambaye ni mama.pili nilijiuliza Kama anaye je Hizi Tabia za mwanae anachukuliaje?maanake Angekua mama yangu nadhani angenipa Alana.SASA Naomba nishuhudia humu live.siku moja alikuja Kwenye ofisi Fulani kataka huduma.sasa aliambiwa apange mstari Kama mtejaa mwingine.jamani Huyu mama Alianza kupiga makelele na kutukana Yule muhudumu Huku akisem a,nanukuu "hamjui Mimi mama Ake wema,kwanini nip ange mstari.?"yaani ilikua balaa.sasa Mimi nikajiuliza Kama wewe mama Ake wema who cares!its non of our business?who is wema to us.basi hapo ndo nikapata jibu.like mother like daughter....Aisee yaan hapo kajijengea uaduii na hizo timu zao atashangaaa aisee sie yetu masikio mimi mama yangu hawez ongea hivyo hata siku mojaaa,na sijawah.msikiaa mtoto kama mama aisee kumbe hua tunamlaumu wema kumbe mama yake ndio hivyoo sasa hayo maswala ya shape kama ana miaka 12 ya ninii mtu mzima hivyoo,
Ndio maana nilisema Kajala kama ana akili amridishie zile milion zake atasimangwa mpaka basiii arudishe pesa wamalizanee
Eti kamuibia mume mume yupiii??? Mambo ya kipuuzi kabisaaa mbona ye alimuiba Sepetu kwan kajala wa kwanza kuiba hawara looo hii ni funga mwaka
Mbona wengine wanasema kafika form six au nimeona vibaya?????
hadi sasa hatujapata uhakika wa elimu yake...
Malaysia alienda kusoma ila sijui what happened ndio kina Mange wali muunganisha u miss Tz baada ya hapo ndio ikawa tunayoyaona sasa...
Angefika six tungekoma, uko malaysia alifanya soo wakamfukuza akarud bongo, hana chet wala diploma
Una maswali mengi kwani we ni polisi....
Alisoma Malaysia..
Alisoma huko mwaka gani? Chuo gani? Fani ipi? Kiwango kipi? Na la muhimu zaidi, je, alihitimu?
Angepata ata hyo diploma tungekoma, wema hana cheti wala degree, ndo wale wale tu akina aunty ezekiel na kajala, wote shule hamna