Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

Hajafika six wema..nmechek interview zake kibao baada ya 4 alienda Malaysia for dip ambayo cjui kama alimaliza

Hakumaliza..na hiyo six kaisomea wapi..wema kaishia form 4...
 
Mbona wengine wanasema kafika form six au nimeona vibaya?????
hadi sasa hatujapata uhakika wa elimu yake...

Malaysia alienda kusoma ila sijui what happened ndio kina Mange wali muunganisha u miss Tz baada ya hapo ndio ikawa tunayoyaona sasa...

Historia ya wema unaijua vizuri.?? Kashiriki umiss baada ya kumaliza form four...akaanza umalaya..kukuruka na kina jumbe mara sijui jose mara....umalaya kumzidi ndo kapelekwa Malaysia na mama yake baada ya skendo kumzidi..mpk kupelekana mapolisi..kule Malaysia alipelekwa ili akakitulize...hakukituliza shule ikamshinda...upo.??? Hakuna cha degree wala diploma wala certificate
 
Maatope na pdidy ni watu ambao wapo kipekee, hata huwatukane vipi wao watakujibu kistaarabu.

Warumi keshashindwa kuwaiga aiseee,mi mwenyewe wale wale kwa ban tu ukiwa kama hao ban utaisikia tu kwetu sie kina Dina
 
Historia ya wema unaijua vizuri.?? Kashiriki umiss baada ya kumaliza form four...akaanza umalaya..kukuruka na kina jumbe mara sijui jose mara....umalaya kumzidi ndo kapelekwa Malaysia na mama yake baada ya skendo kumzidi..mpk kupelekana mapolisi..kule Malaysia alipelekwa ili akakitulize...hakukituliza shule ikamshinda...upo.??? Hakuna cha degree wala diploma wala certificate

Nami najua ni hivyooo hayo mengine watu humpaisha tu kwaajili ya kuongea kiingreza
 
Sasa mama wa uwoya ushamuona.??? Ni mreeeembooo km uwoya uwii...very beautiful ss hili zee linajinad wakt soko lishakwishaa

Kama una picha aisee weka hapa tulinganishee aiseee maana ni shidaa
 
Hata hicho Kiingereza ushawahi kumsikia wapi akikiongea tuseme kwa nusu saa nzima, mwanzo mwisho bila kuchanganya na Kiswahili au kupatwa na kigugumizi?

Ndugu yangu kwa bongo ukichanganya hivyo kiswanglish yaan ni unajua mno kizunguu chezea sie wabongoo
Wakati nae ni cha hivyo hivyo cha kunywea majii
Ndio maana waliosoma wakaelimika hawachanganyi hivyo kama ni kiinglish ni.kiinglish kama kiswahili ni kiswahili tuuu
 
Mbona wengine wanasema kafika form six au nimeona vibaya?????
hadi sasa hatujapata uhakika wa elimu yake...

Malaysia alienda kusoma ila sijui what happened ndio kina Mange wali muunganisha u miss Tz baada ya hapo ndio ikawa tunayoyaona sasa...

Hpo itakua kweli wakti anakua mis alikua 18 baada y hpo ndio zikaanza sarakasi z kanumba,mr blue,tid,teja jumbe na wengineo.sasa mda w kusoma aupate wapi na mtoto genye zimejaa mpka kichwani ila kweli tabia zke z kurithi like mother like daughter.
Umri umemtupa n hata sura ukiangalia utaona kma ana 40yrz old ila angesoma hta sheria kma dad wke ungekuta nw anafanya kazi nzuri cz ya jina la dad wke.

Baba yke alikua judge toka miaka y 70 so wema asingekosa kazi nzuri kma angesoma ila yeye karithi kila ki2 toka kwa maza hata elimu maza cjui kma kafika std 7
 
Ndugu yangu kwa bongo ukichanganya hivyo kiswanglish yaan ni unajua mno kizunguu chezea sie wabongoo
Wakati nae ni cha hivyo hivyo cha kunywea majii
Ndio maana waliosoma wakaelimika hawachanganyi hivyo kama ni kiinglish ni.kiinglish kama kiswahili ni kiswahili tuuu

Hiyo point dadangu umezungumza ukweli

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Aisee yaan hapo kajijengea uaduii na hizo timu zao atashangaaa aisee sie yetu masikio mimi mama yangu hawez ongea hivyo hata siku mojaaa,na sijawah.msikiaa mtoto kama mama aisee kumbe hua tunamlaumu wema kumbe mama yake ndio hivyoo sasa hayo maswala ya shape kama ana miaka 12 ya ninii mtu mzima hivyoo,
Ndio maana nilisema Kajala kama ana akili amridishie zile milion zake atasimangwa mpaka basiii arudishe pesa wamalizanee
Eti kamuibia mume mume yupiii??? Mambo ya kipuuzi kabisaaa mbona ye alimuiba Sepetu kwan kajala wa kwanza kuiba hawara looo hii ni funga mwaka
Well said! Wana forum Naomba niseme Hivi.namheshimu mama wema Kama mama angu.kabla sijaonana na Huyu mama nilikua najiuliza Hivi wema Hana wazazi?angalau mzazi mmoja tu ambaye ni mama.pili nilijiuliza Kama anaye je Hizi Tabia za mwanae anachukuliaje?maanake Angekua mama yangu nadhani angenipa Alana.SASA Naomba nishuhudia humu live.siku moja alikuja Kwenye ofisi Fulani kataka huduma.sasa aliambiwa apange mstari Kama mtejaa mwingine.jamani Huyu mama Alianza kupiga makelele na kutukana Yule muhudumu Huku akisem a,nanukuu "hamjui Mimi mama Ake wema,kwanini nip ange mstari.?"yaani ilikua balaa.sasa Mimi nikajiuliza Kama wewe mama Ake wema who cares!its non of our business?who is wema to us.basi hapo ndo nikapata jibu.like mother like daughter....
 
Mbona wengine wanasema kafika form six au nimeona vibaya?????
hadi sasa hatujapata uhakika wa elimu yake...

Malaysia alienda kusoma ila sijui what happened ndio kina Mange wali muunganisha u miss Tz baada ya hapo ndio ikawa tunayoyaona sasa...

Angefika six tungekoma, uko malaysia alifanya soo wakamfukuza akarud bongo, hana chet wala diploma
 
Back
Top Bottom