Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

Wema Sepetu: Tabia karithi kwa mama yake?

Maboso

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
5,164
Reaction score
5,762
Wadau, ni hivi majuzi tu mdada mwenye skendo zisizoisha Wema Sepetu alisherehekea birthday yake kutimiza miaka 26. Ni birthday iliyoacha gumzo na kwa upande mwingine maswali kibao hasa ukizingatia gharama na zawadi alizopewa.

Si lengo langu kuichambua hiyo sherehe kwa sababu kwa upande mwingine ana haki ya kufanya vile anavyoona nafsi yake inampendeza.

Nimepost uzi huu baada ya kukutana na kitu ambacho sikukitegemea kukiona kwa mzazi mwenye mtoto mkubwa kama Wema. Ni mara nyingi nimeona magazeti na media mbalimbali zikimuhusisha Mama Wema na skendo mbalimbali kuhusu mwanae.

Jana nimeshtuka sana maneno niliyoyasikia kutoka kwa huyu mama aliyoyatoa kwenye hiyo sherehe. Naomba wadau tuangalie hii video hapa chini, au uisikilize audio ambayo nimeiconvert kutoka kwenye hiyo video. Kisha tujadili mzazi wa namna hii analeta picha gani katika jamii.

Download Video hapa View attachment VID-20141001-WA0005.avi

Download Audio hapa View attachment VID-20141001-WA0005.mp3
[video=youtube_share;CVj13lbc1o s]http://youtu.be/CVj13lbc1os[/video]

~~~ Mimi nina miaka 50 lakini figure yangu kama mtoto wa miaka 12 - Mama wema ~~~
[video=youtube_share;OvBA3ExKZn 4]http://youtu.be/OvBA3ExKZn4[/video]

~~~ Katika pitapita zangu nimekutana na mtusi mwingine hapa. Kidogo mawazo ya kwamba labda juzi kati alitukana kwa sababu ya kulewa yameanza kunitoka ~~~
[video=youtube_share;b9hwjC3W7sc]http://youtu.be/b9hwjC3W7sc[/video]
 
Maboso

Nitumie whatsapp kwa namba hii zinagoma kudownload 0656660223
 
Last edited by a moderator:
Hivi Ni Kweli Wema Ana Miaka 26? Kwani Anavyogombea Umiss 2006 Alikuwa Ana Miaka Mingapi? Kwa Nini Mnapenda Kuonekana Wadogo Wakati Ni Vibibi Vikongwe.
Nchi ni watu na cha kusikitisha/kufurahisha hawa ndio mastaa wanaoendesha maisha ya Watanzania wengi kwa maana hiyo ndio wanaendesha nchi hii!

Mbona hajatukana? Angekuwa mama yangu angeyatoa mazito zaidi ya hayo....uchungu wa mwana aujuae mzazi...hujui alipata shida gani kumny.a...
Wamezidi kumsemea mwanae kama yeye ndo mkosefu sana au wa kwanza kufanya haya anayoyafanya hapa duniani. Mbaya zaidi wanamtukana mpaka na yeye mzazi...
Anayoyafanya Wema yanafanywa sana na ndugu zetu, dada zetu na hata mama zetu...hivi na halali kweli tuone wanadhalilishwa kwa makosa na mapungufu yao, ni halali na sisi tuingizwe?

U dont know how it hurts...tuliaaaa

Halafu waswahili wanasema hata kama kibaya, ndo chako....
 
Kim nana

kuna mastaa wangapi wanatukanagwa apa bongo na wazazi wao hawajihusishi na mambo ya watoto wao? Kwani wenyew ndo hawajazaliwa? Huyo mama wema ni mswahili na shangingi, mbona jackline wolper walimtukana sana na kumwambia ananuka K , wewe uliona mama yake kaingilia hata siku moja? Mama wema mswahili sana yule na dawa yake ipo jikoni lazime akimbie mji huu naona ile picha bado hajakoma nayo
 
Last edited by a moderator:
Kim nana

yaani kwa mama mtu mzima tena mke wa balozi hawezi kuongea huo ujinga hata iweje ilipaswa awe mfano kwa kuwakanya kwa kutumia maneno ya busara
 
Last edited by a moderator:
yaani kwa mama mtu mzima tena mke wa balozi hawezi kuongea huo ujinga hata iweje ilipaswa awe mfano kwa kuwakanya kwa kutumia maneno ya busara

Binafsi nimeshtuka mno, hasa neno alilotamka mwishoni mwa hiyo video.
 
kuna mastaa wangapi wanatukanagwa apa bongo na wazazi wao hawajihusishi na mambo ya watoto wao? Kwani wenyew ndo hawajazaliwa? Huyo mama wema ni mswahili na shangingi, mbona jackline wolper walimtukana sana na kumwambia ananuka K , wewe uliona mama yake kaingilia hata siku moja? Mama wema mswahili sana yule na dawa yake ipo jikoni lazime akimbie mji huu naona ile picha bado hajakoma nayo

Mkuu nakubaliana na wewe kabisa. Huyu mama ni shangingi. Mtu mzima huwezi kutamka tusi kubwa namna hiyo, tena mbele ya mwanao wa kumzaa.
 
kuna mastaa wangapi wanatukanagwa apa bongo na wazazi wao hawajihusishi na mambo ya watoto wao? Kwani wenyew ndo hawajazaliwa? Huyo mama wema ni mswahili na shangingi, mbona jackline wolper walimtukana sana na kumwambia ananuka K , wewe uliona mama yake kaingilia hata siku moja? Mama wema mswahili sana yule na dawa yake ipo jikoni lazime akimbie mji huu naona ile picha bado hajakoma nayo

Huyo mama yake Wolper alitengenezewa picha ya uchi kama yule...Wolper na wengine wanatukanwa wao kama wao...huyu iweje atukaniwe mzazi.
Halafu me sijaona hata tusi moja hapo...kaongea maneno ya kistaarabu sanaaaa....

Ndo kashawaambia...kama kawaida anayejisikia kutapika ndimu zipo gengeni sh 100 tu....Kariakoo fungu mia tano....
 
Nimeamini kwamba tabia ya mtu inauhusiano wa moja kwa moja na malazi ya mtu husika. Mama Wema hana busara na naamini maadili yake yanajielezea kwa tabia ya mwanaye. Nimeshindwa kuiangalia video yote.
 
Kim nana

BIG NOOOOOOOOOO
alipaswa atumoe hekma kwenye kuongeA
yale maneno kwa mam km yeye amekosea sana
sote wazazi mtoto Anauma ila pale alichemkA
nA ndo maana kumbe mzee sepetu hakumuoa kwa ndoa ya msikitini wala kanisani wala bomani aliolewa kimila
mwanamke mwenye watoto anapasw ajistahi
mwanamke hulkaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom