Wema Sepetu: Tafuta wataalamu wa jadi haraka iwezekanavyo.

Umesomea wapi huu ujinga? Hata bibi pia alikuwa binti na alisumbua kwelikweli zama zake, mwache apumzike na ale matunda ya alichokipanda na siyo kutaka kumpoteza kwa ushauri usiofaa.
 
unaanzisha uzi wa wema bila picha?
hiwezi kuwa serious mkuu
 
Naona mganga wa kienyeji anajitafutia mteja wema ili nae apate na fulsa ya kutibu na kula mzigo
 
Hapa wataalamu hapa Mashekhe wa kisomo! Tutafika tu, tena kwa hali hii ya jiwe la relini! huenda masangoma wakatajirika tukiamini tumerogwa.
 
tupia picha yake

ila nadhani lishe yake ni hafifu
 
Yaani hana celebrity hana Nyota ila mpaka wewe tusiokujua unamjua ? Sasa wale ambao hawajulikani utawaitaje ?

Sometimes watu wa nje wanajifanya kukuonea huruma wakati hauhitaji hizo huruma na wenyewe ndio wa kuhurumia....
 
Unaonesha unafurahia sana mitihani ya mwenzako. Maana umendika kishabiki fulani hivi.
 
Ushauri huu ungefaa atumiwe mhusika moja kwa moja kuliko kuuleta JF!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…