Wema Sepetu Tena katika mahaba mazito na Ki-boy

Anabahati ya kupendwa sio Kama kina JayDee wameachwa tangu mwaka juzi mpaka Leo wanalia Tu ndi ndi ndi. Yeye bandika bandua anawapanga foleni tu. Hongera dada!
 
Analazimisha sitar!
Kwani I'drisa vp tena si mchumba wake??
 
Anabahati ya kupendwa sio Kama kina JayDee wameachwa tangu mwaka juzi mpaka Leo wanalia Tu ndi ndi ndi. Yeye bandika bandua anawapanga foleni tu. Hongera dada!
Haaaaaaa uwi nimechekaje
 
Kuna ukimwi kuna ukimwi ukimwi utakuua,usione sifa kubadilisha mabwana ukianza kuvaa pampasi watu wasikulilie kwa unafiki.hauna staha unagawa hadharani amini kuna ukimwi
 
Kazi yake, mnataka akalime ilhali siyo kazi yake
 




KUNA BAADHI YA WANAWAKE WANGEKUWA WANATOKA TUNDU MOJA IWAPO WAKITEMBEA NA MWANAUME BASI WENGINE WANGEKUWA KAMA VILE NETI


HIVI KUNA MTU MWENYE FEDHA AMBAYE HAJAMLA HUYU DADA KWELI??
Ndio mkuu,mi bado sijamla
 
Kuna Clip inasambaa sana Instagram Wema sepetu akiwa Na Ki Boy ... Bila haya Wala Aibu mwanamke Huyu Na kiss Za midomo juu wakadendeka

Picha hizi hapa

Kusingekua na incharge watu tungemwagishana sana radhi......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…