Wema Sepetu, The queen of East

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Ila nyumbu nyie bado ana ka mvuto flani hivi, sema basi tu huyo aliyemroga mtoto wa watu alimroga haswa , Wema is Beautiful, Wema is a star , Ana nyota , na ni kati ya mastaa wachache bongo wenye exposure na Maisha flan hivi yalee, ni mtu ambaye unaweza kumuweka na jamii ya watu wowote wale na aka fit, wasomi , akina kajamba Nani , yani she has that vibe and energy ambayo kusema kweli mastaa wengi hawana.

Mind you , Wema Alisoma shule nzuri , so hata ongea yake , how she handle herself , you can see ako na confidence, she is just wema sepetu yani , no one ambaye atakuja mreplace this beauty brain , ni vile tu ako na ujinga flan hivi , kama akipata mtu au watu wakum boost , trust me you this bitch angekua mbali sana

Tumeona ujio wa kina hamisa, lyn and so so, ila hakuna kama wema

Tumuombee tu arudi kwenye level anayostahili


bhana
 
nikajua anauza ngada kama queen of the south
ila ata zeeka tu siku sii nyingi labda atakuwa bibi bomba

Akina Camilla na Teresa Mendosa sio ? Ahahah lol
 
Afadhali alivyopungua,kwa kiasi fulani mapenzi ndo yaliyokuwa yanamrudisha nyuma,aliniuzigi alivyorudianaga na mwakitombile afu akasahau kabisa kufanya kazi,na hiyo ndo ikawa down fall yake mpaka leo hajaweza kurudisha ile status yake ya Madam
Mwakitombile ndio Nani? Dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…