Wema Sepetu, The queen of East

Wema Sepetu, The queen of East

Hahahaha hapana siyo mimi
Daah kama Kweli avatar yako ndo wewe, basi wewe binti ni mzuri wa sura japo umbo silijui, na Kwa comment yako hii naongezea hata kichwani upo vizur, natumia nafas hii pia kusema aliyekuoa namuonea wivu....samahan lakn kama nimekukwaza mama
 
Ila nyumbu nyie bado ana ka mvuto flani hivi, sema basi tu huyo aliyemroga mtoto wa watu alimroga haswa , wema is Beautiful, wema is a star , Ana nyota , na ni kati ya mastaa wachache bongo wenye exposure na Maisha flan hivi yalee, ni mtu ambaye unaweza kumuweka na jamii ya watu wowote wale na aka fit, wasomi , akina kajamba Nani , yani she has that vibe and energy ambayo kusema kweli mastaa wengi hawana.

Mind you , wema Alisoma shule nzuri , so hata ongea yake , how she handle herself , you can see ako na confidence, she is just wema sepetu yani , no one ambaye atakuja mreplace this beauty brain , ni vile tu ako na ujinga flan hivi , kama akipata mtu au watu wakum boost , trust me you this bitch angekua mbali sana

Tumeona ujio wa kina hamisa, lyn and so so, ila hakuna kama wema

Tumuombee tu arudi kwenye level anayostahili
bhanaView attachment 1163419

Yani anazeeka lkn bado mzuri huyu dada alitakiwa akakimbizane na kina nikki minaj angepata hela
 
Lol oneni mtu huku anavyojitahidi kuwaelewesha wanawake kuhusu wanaume kuchepuka utafikiri ameambiwa sisi hatujui na ni wageni kwenye haya mambo aise tunajua hayo yote na bado hatujaona sababu ya wanaume kuchepuka yaani hata ujitetee vipi bado hakuna sababu ya kuhalalisha umalaya hiyo ni dhambi tena kubwa mno mkubali mkatae
Ujue uwaga nakuchora tu,unapenda kuchangia hata mada ambazo azikuhusu,alaaah nani alikwambia umalaya ni dhambi?
 
Sasa kama ni reality mbona duniani wapo hadi wanawake wanaosaliti waume zao na wapo wanawake wanaoolewa na waume zaidi ya mmoja kwahiyo hilo ni sawa?
Umeelewa maana ya mjadala?,independent anamaanisha kwa wanaume ndo sawa,but kwa wanaume wake ni kosa sawa eboooooh.
 
Back
Top Bottom