Wema Sepetu to take Diamond Platnumz to court

Hapa wema atashinda hata asipopata wakili,huu alioufanya simba sio uungwana kwa kweli,yaani snura na shishi walipwe kwa wema iwe wema haiwezekani,hata mimi ntamsaidia kisheria ikibidi.
 
Were you privy to their conversation and what they agreed/ disagreed on?
Read the whole story and especially:
“Diamond Platnumz asked me to feature in Raymond’s music video. I asked him to pay me TSh10 million (KSh465, 000). He showed resistance. Seemingly he wanted me to provide free services; asking why I featured in Ommy Dimpoz’s music video without demanding money. “I told him – in Ommy Dimpoz’s case – he needed my assistance. But with him (Diamond), I made it clear that I wanted to be paid.
 

That's her side of the story.

What about the other side? Have you heard it?
 
wema ana wivu yaani kutokea kwenye wimbo wa RAYMOND-NATAFUTA KICK tu anataka alipwe?? tena kwa dau kubwa hizi njaa hataree
 
una ushaidi
 
What happened to the other artist who won the Lawsuit against TiGO? Did he get the much hyped $ 1.5 million compensation from Tigo?
 
Movie nzima ya zaidi ya masaa mawilii sidhani kama kuna msanii bongo analipwa zaidi ya 3M. Hiyo scene ya dakika kadhaa ndio adai alipwe kiasi chote hicho?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…