Scorpio Me
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 6,119
- 7,934
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lugha izi tuwaachie wenyewe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Lugha izi tuwaachie wenyewe...
Sababu imekaa kikuma-****[emoji12]hii haitakua na wachangiaji wengi.
Loya nipo....Huo ni uhuni,baada ya kuona hawawezi kumlipa ikabidi watumie vipande vingine akiwa kwenye birthday?
Bado ana hoja ya kutokea ktk video ya wimbo bila idhini yake.
Amshtaki tuRommy anatokea WASAFI lebo, na yeye kazi yake ni kuimba tu.
Producer wa wasafi anapewa maelekezo na uongozi wa WASAFI kwamba nini afanye.
Diamond ndie Rais na mmiliki wa WASAFI.
Sasaaa..........
Wakati haya yote yakifanyika Diamond alikua anafaham, tena yawezekana alihusika na aliratibu kwa 100%.
Wema anapaswa kuishitaki WASAFI. Na unapo taja WASAFI, maana yake umemtaja Diamond