Wema Sepetu to take Diamond Platnumz to court

The allegations that only the authorities may have something to comment,I ask to my self is almost two to three weeks if not a month since the Video natfta kike realised.then where was Wema Sepetu to raise the matter on the spot?

Wema is trying to mitigate and alleviate her own personal misfortunes!!
 
Kitu ambacho watu wengi hawajui ni kwamba, ukishapost picha au video on a social media basi moja kwa moja inakuwa public property. Jitahidi tu uwe na privacy, lakini hakuna polisi au mahakama itakayomuhukumu mtu atakayetumia picha au video uliyoweka kwa hiyari yako mwenyewe huko Instagram, Twitter au Facebook. Habari ndio hiyo.
 
Wabongo wengine majina makubwa lakini professionalism zero.
 
Sasa huyu nae kwenye wimbo wa Salome alikataa milioni 50 alafu kwenye natafuta kiki analilia milioni 10 hahaha huyu ndio madam bana
 
Huo ni uhuni,baada ya kuona hawawezi kumlipa ikabidi watumie vipande vingine akiwa kwenye birthday?
Bado ana hoja ya kutokea ktk video ya wimbo bila idhini yake.
Loya nipo....

Mie fee yangu 10% tu
 
Amshtaki tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…