PreGE2025 Wema Sepetu: Tuwaskilize wananchi wenyewe wanasemaje? Daraja la Magufuli, Maana nikisema mimi inaleta ukakasi

PreGE2025 Wema Sepetu: Tuwaskilize wananchi wenyewe wanasemaje? Daraja la Magufuli, Maana nikisema mimi inaleta ukakasi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Msanii wa filamu nchi ameonyesha hisia zake baada ya kufika katika uzinduzi wa daraja la Magufuli liliozinduliwa leo na Rais Samia, na haya ndiyo aliyoandika katika ukurasa wake wa Instagram

Tuwaskilize wananchi wenyewe wanasemaje? Maana nikisema mimi inaleta ukakasi,Naombeni nipumzike kidogo... Kesho nayo ni Siku...
 
Huyu ni mmoja kati ya wajinga niliojuta kuwa follow kwenye mitandao kwa sasa nimem unfollow
 
Kutoka kuwa pisi kali yenye ushawishi hadi kuwa demu ambae akiongea anaonekana kachanganyikiwa
 
Msanii wa filamu nchi ameonyesha hisia zake baada ya kufika katika uzinduzi wa daraja la Magufuli liliozinduliwa leo na Rais Samia, na haya ndiyo aliyoandika katika ukurasa wake wa Instagram

Tuwaskilize wananchi wenyewe wanasemaje? Maana nikisema mimi inaleta ukakasi,Naombeni nipumzike kidogo... Kesho nayo ni Siku...
View attachment 3376114
Ndio nani huyo huko dar?!
 
Nasemea Daraja ni kubwa sana kwa hiyo watu wa Arusha wasijilinganishe na Mwanza kabisa na mikoa mingine

Arusha wanaizidi Mwanza kwa kuvuta bangi tu, maana kule mpaka watoto wa miaka 10 tayari wanaokota makopo
 
Uke ungekua penseli yakwake ingebakia kifutio,maana sio Kwa kuchongwa huku.
 
Back
Top Bottom