Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Huyu nlikutana naye alipokujaTz Sweetheart huwa yuko upstairs, sema kuna some time, anajichetua makusudi. Lol
ππππHuyu nlikutana naye alipokuja
Poland kwenye umiss World
Alikuwa mbichi,kuna mwanangu somebody AD--- Alimvuta uzr wa wema hajuw kukataaa
Ova
ππππ watu wa Dar watatukoma sasa hiiiiiWananchi wa Sengerema tunakushukuru dada Wema Sepetu kwa kutuletea hili daraja.
ππππ watu wa Dar watatukoma sasa hiiiii
Nasemea Daraja ni kubwa sana kwa hiyo watu wa Arusha wasijilinganishe na Mwanza kabisa na mikoa mingineNa wasituulize Wema Sepetu huku Sengerema ni nani? Ni celebrity wetu
Ndio nani huyo huko dar?!Msanii wa filamu nchi ameonyesha hisia zake baada ya kufika katika uzinduzi wa daraja la Magufuli liliozinduliwa leo na Rais Samia, na haya ndiyo aliyoandika katika ukurasa wake wa Instagram
Tuwaskilize wananchi wenyewe wanasemaje? Maana nikisema mimi inaleta ukakasi,Naombeni nipumzike kidogo... Kesho nayo ni Siku...
View attachment 3376114
Nasemea Daraja ni kubwa sana kwa hiyo watu wa Arusha wasijilinganishe na Mwanza kabisa na mikoa mingine
πππππArusha wanaizidi Mwanza kwa kuvuta bangi tu, maana kule mpaka watoto wa miaka 10 tayari wanaokota makopo