Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Madame kaja na mpya. Katika page yake (Tz Sweetheart) na kuwatumia baadhi ya wadau wake wa karibu kawajulisha wa Save the Date. Yaani tarehe 30 Kuni 2018 si siku ya kuikosa.
Hii tunaiona baada ya picha za kimahaba akiwa na Diamond kusambaa na kutikisa kwenye mitandao ya kijamii kwa siku kadhaa zilizopita. Mrembo huyu wa Tanzania (Le Madam) kaja na hii mpya ya save the date.
Sijui hata tutarajie nini kwenye hii tarehe.
Unadhani nini kitatokea siku hii au ndio tusubiri mpaka tarehe ifike?
[HASHTAG]#TzSweetheart2018[/HASHTAG]