Wema Sepetu (#TzSweetheart2018): Amekuja na ''Save the date 30th of June'' - Tutarajie nini?

Wema Sepetu (#TzSweetheart2018): Amekuja na ''Save the date 30th of June'' - Tutarajie nini?

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
index.jpeg

Madame kaja na mpya. Katika page yake (Tz Sweetheart) na kuwatumia baadhi ya wadau wake wa karibu kawajulisha wa Save the Date. Yaani tarehe 30 Kuni 2018 si siku ya kuikosa.

Hii tunaiona baada ya picha za kimahaba akiwa na Diamond kusambaa na kutikisa kwenye mitandao ya kijamii kwa siku kadhaa zilizopita. Mrembo huyu wa Tanzania (Le Madam) kaja na hii mpya ya save the date.

Sijui hata tutarajie nini kwenye hii tarehe.
Unadhani nini kitatokea siku hii au ndio tusubiri mpaka tarehe ifike?

[HASHTAG]#TzSweetheart2018[/HASHTAG]

Screenshot from 2018-01-30 15-44-33.png
 
Anakuja na collabo mpya na Diamond Platinumz, waliitangaza juzi katika ile sherehe ya kumkaribisha msanii mpya. Walisema tu juu juu kuwa single yao wanayoiandaa inaitwa..."Ingiza polepole, Toa.....mbona haina radha?"
 
Back
Top Bottom