Wema Sepetu: Umbo Lake Limerudi Kama Zamani!!!

Wema Sepetu: Umbo Lake Limerudi Kama Zamani!!!

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68
Wema Sepetu amekuwa gumzo kwa mtandao baada ya mwili wake wa zamani kuanza kumrudia.

Staa huyu wa kipindi cha 'Im My Shoes' alipiga picha na Romy Jones wiki iliyopita ambayo iliweza kuangaliwa sana kwa mitandao kadhaa huku wakifananisha mwenekano wake mpya na wa zamani.

Wiki hii Wema ametaka kuonyesha kiuno chake kwa mashabiki wake kuwa pia yeye amebarikiwa na shepu (hajamshinda Matilda Hipsy kwa hip zake)

Kupitia mtandao wa Instagram, Wema aliweza kuweka picha zake mbili na kuweka maneno haya:
"For my baby... yes you...". Mrembo huyu kwa sasa yupo na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz'.


[IMAGE 1]


[IMAGE 2]


Stori imedondoshwa kutoka
Wema Sepetu: Umbo Lake La Zamani Limerudi -bkuHABARI!!!
 
wa enzi hizooooooo,sa sijui ndio karudi huko

wema_missworld.jpg
 
Tatizo ni kuwa hata akijaribu kufanya vipi hawezi kuurudia mwili wake original ..amejiumbua
 
Duh namkumbusha tu kuwa pamoja na maangaiko yake yote 'akumbuke tu kuwa umri uwa haurudi nyuma' na kila chenye mwanzo..............!
 
Back
Top Bottom