Wema Sepetu usizae kiholela wala nini. Bibi kizee anataka kukuponza

Na akizaa tu na yeye kazaa na mwanae..haha idriss anatia huruma..angeikataa roho isirudie maana na yeye sialipotezewaga na balozi sepetu..a.k.a mtoto haram
 
Mimi nilimwona
Anayo

Heeeee zari is 44,,anakula nini.
 
Zifike 10, kwa umri ule na aliyokwisha yafanya WAZAE TU WATUKOMOE SISI. Ukishapitisha watoto 4 na 10 huko chini hakunaga tofauti
Ni bora kupitisha hata watoto 50 ni BARAKA kuliko kuharibu na kutoa mimba ni LAANA.
 
sikutegemea mtu kama huyu anaweza leta hii maada..!! inaonekana umejaa uswahili Swahili tu..sasa Zari yule mrembo anakuhusu nini? mwache aishi maisha yake na huyu wema aishi yake..This is the free world choices mtu aishi vipi haikuhusu..!! umejaa uswahili Swahili tu
 
 
Lara 1 wewe ushauri wako ni wa hovyo sana.
Hivi unafikiri miaka imesimama inakusubiri wewe uendelee kuliwa tu?????
Kuna age itafika unahitaji uwe na familia hata mtoto wa kumtuma pale unapoumwa....hivi Wema akizaa at the age of 38 huyo mtoto atamlea lini na kumsomesha wakati life expectancy ni 48.
Lara 1 you must be a
Tom Boy...mambo ya familia waachie wenyewe!!!

Ongeza tu juhudi kwenye utengenezaji wa stories za mapenzi basi,mambo ya uzazi waachie wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…