Wema Sepetu wakati wako umeisha, usiingilie kizazi cha sasa

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Ulipata bahati ya kila aina japo ule msemo bahati huja mara moja ila wewe ulipata bahati sana.

Ulipata kila aina kitu na mpaka wanaume ambao walitaka uwe sehemu yao na kukupa kila ukitakacho.

Sasa unapoleta kejeli na kukebehi tunajua umechanganyikiwa sasa. We tuungane na sisi ambao umri ulishakataa japo utaki kukubali wewe ni libibi.
 
Her era is over like Mike anyone Tyson,Jackson ,Jordan.

Atulize KOMWE siyo era yake ,kashayavuruga aendelee kuwa mlezi wa WANA.
 
Wema sepetu 2025
 
Attachments

  • 20251210_192443.jpg
    20251210_192443.jpg
    89.5 KB · Views: 20
Ulipata bahati ya kila aina japo ule msemo bahati huja mara moja ila wewe ulipata bahati sana.

Ulipata kila aina kitu na mpaka wanaume ambao walitaka uwe sehemu yao na kukupa kila ukitakacho.

Sasa unapoleta kejeli na kukebehi tunajua umechanganyikiwa sasa. We tuungane na sisi ambao umri ulishakataa japo utaki kukubali wewe ni libibi.
Msemo wa MFICHA UCHI HAZAI bado nautafakari,.

Hapa Wahenga walituingiza chaka!
 
Ulipata bahati ya kila aina japo ule msemo bahati huja mara moja ila wewe ulipata bahati sana.

Ulipata kila aina kitu na mpaka wanaume ambao walitaka uwe sehemu yao na kukupa kila ukitakacho.

Sasa unapoleta kejeli na kukebehi tunajua umechanganyikiwa sasa. We tuungane na sisi ambao umri ulishakataa japo utaki kukubali wewe ni libibi.
Mgumbaa huyoo achaneni naeee
 
Back
Top Bottom