Wema Sepetu: Wanaoniponda wengi wao wanatumia Tecno na Huawei

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Umofia Kwenu wana Jamiiforums
Katika hali iliyoshangaza wengi, beautiful oninye mwenye endless fame mnyange Wema Sepetu amesema watu wengi wanaomsema kwenye mtandao they don't have life na wengi wao wanatumia Tecno na Huawei kulog in kwenye mitandao ya kijamii na kuanza kumponda, akichezesha taya na Ephraim Kibonde katika kipindi cha jahazi amesema watu hao hawampi shida hata kidogo kwani wamepigika na yupo juu zaidi yao.

My Take: Hivi Sister wema hizo simu ulizozidharau unazijua vizuri kweli? Hivi unaweza ku-compare features za Huawei Ascend P7/Tecno H7 na Samsung Gallaxy S4?
~~~~~~~~~~~~~~
Huawei Ascend P7


Tecno H7


Wema Sepetu Akiwa na Samsung Gallaxy
 
Yaani huyu akili yake inazidi kuwa ya kitoto... sijui ana nini jamani
 
Mmmmmh kayasemea wapi??? Haiwezekani global wasiipublish hii
 
aheri ya mie mwenye tecno nnaitafuta kwa ualimu wangu
je mpaka auze nyapu au kuhongwa pole yake
amenizidi umalaya,ufemasi na kuhongwa na mapedyee
ila nimemzidi kitu kikubwa sana elimu yangu haitoifikia ng'ooo
na hao wenye vitecno na huawei ndo mashabiki wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…