Wema Sepetu: Wanaoniponda wengi wao wanatumia Tecno na Huawei

Wema Sepetu: Wanaoniponda wengi wao wanatumia Tecno na Huawei

Kweli maisha duara wale yaani wale aliowakejeli ndio amekuwa yeye sasa eti Mtatembeaje na miguu kama wanyama leo mnyama ni yeye na kulia juu 🤣
 
poor her, zero brain, kwa taarifa yako wema wenye tecno na those kindof ndio wanajielewa, hununua simu yenye kila kitu kwa bei nafuu, ''value for money'' wasiojilewa kama wewe wema ulimbukeni unawasumbua, hutaka simu za bei ya ghali for show off, wenye tecno majority of em wananyumba zao na wanatembelea magari yao.
Back then
 
Ila wema alikua na nyodo mbwaa huyuu[emoji1][emoji2][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]ndo maana kalia alivoambiwa hana gari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mjinga huyu demu,yeye yupo juu zaidi,anajidanganya kwa pesa sa kuhongwa,atafute zake tuone kama atadharau watu namna hii,by the way natumia Huawei P6,kwani mawasiliano sipati?hata kama ningekuwa na Nokia 3310,tatizo ni nini?ngoja afike 40yrs ndo atajua jiji
Sasahivi ana 34!

NA GARI HANA!!!

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Umofia Kwenu wana Jamiiforums
Katika hali iliyoshangaza wengi, beautiful oninye mwenye endless fame mnyange Wema Sepetu amesema watu wengi wanaomsema kwenye mtandao they don't have life na wengi wao wanatumia Tecno na Huawei kulog in kwenye mitandao ya kijamii na kuanza kumponda, akichezesha taya na Ephraim Kibonde katika kipindi cha jahazi amesema watu hao hawampi shida hata kidogo kwani wamepigika na yupo juu zaidi yao.

My Take: Hivi Sister wema hizo simu ulizozidharau unazijua vizuri kweli? Hivi unaweza ku-compare features za Huawei Ascend P7/Tecno H7 na Samsung Gallaxy S4?
~~~~~~~~~~~~~~
Huawei Ascend P7

s0_phone_1.png

Tecno H7
tecno-h7-mobile-phone-large-1.jpg


Wema Sepetu Akiwa na Samsung Gallaxy
8a5dd4f0333511e3b59422000a9f13f8_7.jpg
Kumbe hana akili kitambo?!
 
Bora nyie binamu mmejinunulia huawei za promo kwa pesa zenu, maaana bibi yule hizo simu kali mpaka achokonelewe mbele na nyuma, sasa kujitesa uko kwa nini? Si bora nyie na tecno zenu insta mnaingia kama kawa,ebu atupishe apa
Dah!

PUMZIKA KWA AMANI WARUMI!!

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom