Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Wanajamvi wasalam!
Wema sepetu akihojiwa kwenye kibinti cha Power jams cha East Africa Radio aliulizwa kuhusu picha iliyo onekana akipeana kiss na Aunt Ezekiel na kuhusishwa na Usagaji na Wengi wakiliona si jambo la kawaida kwenye Jamii!
Lakini kwa Wema kwakwe ni Jambo la kawaida!
Wema alisema wanawake kwa wanawake kupeana kiss kwenye midomo ni jambo la kawaida na yeye huwakiss wanawake wenzie alio close nae na humkiss Mama yake na wengine alio karibu nae!
Kwenye ile video nusu iliyowekwa kwenye ukurasa wa East Africa TV kama si East Africa Radio wema alionekana mwanzo kama kukerwa lakini mwishoni alilijibu hilo swala kwa ujasiri sana na akisema ni jambo la kawaida wanawake ku kiss wenyewe kwa wenyewe kwenye midomo lakini si jambo la kawaida kwa mwanamke kumkiss mwanaume kwenye lips!
Kwakweli nilivyo angalia hii video nilihisi Wema ni mtu aliye changanyikiwa na sikutegemea kama kweli anaweza kusisitiza kuwa ni jambo la kawaida wanawake kwa wanawake Ku kiss tena kwenye midomo kwakweli kwangu Mimi namchukulia Wema kama mgonjwa wa kichwa kabisa na sidhani kama ana hitaji kupimwa kichwa!
Labda pengine Mimi ndio niko nyuma kimaendeleo pengine wana jamvi mnadhani ni jambo la kawaida kama anavyo sema wema?
Karibuni wana jamvi!
Source :East Africa TV fb page