Wema Sepetu: Wanawake kwa wanawake kupeana kiss kwenye midomo ni jambo la kawaida

Huyo ndio Wema kwa ubaya!
Na ubaya wake ndio kama hivyo kashalewa umaarufu sasa anahalalisha usagaji aibu tupu!🙈
 
Yani me nafikiri kichwa chake hakiko sawa!
 
Huyo ndio Wema kwa ubaya!
Na ubaya wake ndio kama hivyo kashalewa umaarufu sasa anahalalisha usagaji aibu tupu!🙈

Kama ni umaarufu wa hivi basi ni hatari!
 
Huyu mwanamke uzungu umezidi
 
Ila tusishangae sana,for the matter of record celebrities wetu wana mila na desturi ngeni miongoni mwetu inshort wao ni wamarekani weusi,ndio maana kusagana,kugeuzwa na kuliwa viboga sio jambo geni kwao,yani mambo kama hayo kwao ni kwenda na wakati!

Hii ni hatari sana pamoja na hayo sikutegemea kama kuna mtu atasema kupeana midomo kwa wanawake ni jambo la kawaida!
 
Mimi kuna msichana alitaka kunikiss mdomoni ghafla nilikwepesha kamdomo kangu,mnyonye mibolo huko,mmwagiwe shahawa midomonii uje ukiss tu mdomonii Airataaaaaaaa weeeee
 
Aiseeee
 
Wanawake wa bongo wengi wanajishaua ku kiss kwa lips. Wana jidai wameelimika
 
Mimi kuna msichana alitaka kunikiss mdomoni ghafla nilikwepesha kamdomo kangu,mnyonye mibolo huko,mmwagiwe shahawa midomonii uje ukiss tu mdomonii Airataaaaaaaa weeeee

Ha ha ha!!Shangaa wewee..msema kwa vile huwa wananyonyana sana ' visim' vyao hawaoni shida eti kawaida!!kuna kipindi Madonna alimnyonya Britney spears na bado ilileta tabu,ingawa ilieleweka madonna ana historia ya kusagwa na Spears alikua anatumia drugs,sijui hawa wana excuse gani!
 
Ni shidaaaaaa mi akuuu
 
Back
Top Bottom