Ipi dot com
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 306
- 166
Hivi hilo neno lina maana gani?. Naomba mwenye kufahamu maana yake anifahamishe~samahani wandungu sie wengine wavuvi tu humu!.
ni mwanamke wa kiarabu aliewekwa ndani anaandaliwa kwa ajili ya kumsubiri bwana mtarajiwa(kwetu mwali)