Halafu raha ya umbea upate kitu kipya yani exclusive, sasa umbea wa mama ubaya hausisimui tena siku izi, maana tunajua kila kitu chake so hanogi bhana kwa kweli imekuwa too much
Yaani mpaka basi!!
Rah ya udaku uupate mbichi, sasa mama ubaya kashachacha sasa, scandal zake zote tumeshazisikia hanog tena
Hao ni mapacha kama awa
Hapa kuna watu kama dinazande na warombo sorry warumi wanakasirika.
maisha foleni ,mungu hana upendeleo tusubiri ndoa ya wema na msaga sumu yule wa vigodoro
Sema hutaki mkuu...hamumtaki wewe na naniKumbe na wewe unalipwa na huyu Dada?
Humu hatutaki hata kumuona,mwambie aende global Publishers wazee wa kurusha watu na kobustisha majina.
Umekosea njia,rejesha change
Sema hutaki mkuu...hamumtaki wewe na nani
Yaan usingeonekana humu ningebadili jinsiaaa
bado mdogo jamani , she is only 22. give her a break
bado mdogo jamani , she is only 22. give her a break
Yaan usingeonekana humu ningebadili jinsiaaa
Sasa hivi ana kufa na stress huyu akingalia hana kazi yoyote mujini.. ma miss wenzake walisha piga bao wame olewa na watu wenye heshima zao.. ame baki ana uza sura insta... maisha ya huyu demu ni drama tupu!
Haaaa! Kwa waume ganu ?Hao wazee ambao ingekuwa ulaya wangekuwa wanaishi care home? Wameolewa au wanatunza vizee, mxxxxxxx ....!
Na ndio maana haikua ulaya, ungekua wewe ume pata bahati yaku olewa na mengi unge kataa? Au basi kwa sababu bahati haija kuangukia?
Kimeo kile nani anataka kukaa Eda mapema Akuuuuuuuuuu