Wema Sepetu

Wema Sepetu

Halafu raha ya umbea upate kitu kipya yani exclusive, sasa umbea wa mama ubaya hausisimui tena siku izi, maana tunajua kila kitu chake so hanogi bhana kwa kweli imekuwa too much

Yaani mpaka basi!!
 
Rah ya udaku uupate mbichi, sasa mama ubaya kashachacha sasa, scandal zake zote tumeshazisikia hanog tena

Yaani me nachefuka sana na hizi habari za kuongea kuhusu hao wanaojiita "super nyota" kero, basi ziwe njema kama vile kafunga ndoa, nk.
 
Hao ni mapacha kama awa

10481049_1504323089805989_4392783885373531887_n.jpg

Inahuuuuuuuuuu
 
Dah..
Wema anavyojibu anaonesha kabisa amekata tamaa..

Pole sana mdada,muda haurudi..
 
bado mdogo jamani , she is only 22. give her a break
 
Sasa hivi ana kufa na stress huyu akingalia hana kazi yoyote mujini.. ma miss wenzake walisha piga bao wame olewa na watu wenye heshima zao.. ame baki ana uza sura insta... maisha ya huyu demu ni drama tupu!

Haaaa! Kwa waume ganu ?Hao wazee ambao ingekuwa ulaya wangekuwa wanaishi care home? Wameolewa au wanatunza vizee, mxxxxxxx ....!
 
Haaaa! Kwa waume ganu ?Hao wazee ambao ingekuwa ulaya wangekuwa wanaishi care home? Wameolewa au wanatunza vizee, mxxxxxxx ....!

Na ndio maana haikua ulaya, ungekua wewe ume pata bahati yaku olewa na mengi unge kataa? Au basi kwa sababu bahati haija kuangukia?
 
Na ndio maana haikua ulaya, ungekua wewe ume pata bahati yaku olewa na mengi unge kataa? Au basi kwa sababu bahati haija kuangukia?

Kimeo kile nani anataka kukaa Eda mapema Akuuuuuuuuuu
 
Waoh! Waoh! Now i can see hahaa hampendi tena wanaume mwenye hela? Kajichokea kweli lakin si hela ipo?
 
Back
Top Bottom