Wema: simlishi Diamond viporo

Wema: simlishi Diamond viporo

Visa sanaa hapo hongera sijui nini kutoka ofisini mpaka kupikaa hhhhaaaaaaaaaaaa vigodoro hua anaenda saa ngapiii

Siku izi mpaka hela ya kwenda kwenye vigodor hana, anajishaua kumpikia ndomo
 
Najua mna wivu kwa sababu ameumbika na yupo na msanii maarufu bongo.tulia wema kwenye ndoa yako achana na manungayembe yanahangaika.

Dinazarde ebu msikie ndugu yako uku eti wema atulie kwenye ndoa, sijui ndoa ipi anayoizungumzia, ebu muulize crush wako
 
Last edited by a moderator:

Tunalilia bahati uzuri hata Tausi anao weweee,tuache kumuonea wivu K lyn anakula bata na Mengi pesa ipo ya kutosha sio ya mawazo tumuonee Wema kwa lipiii haswaa nyie wabeba pochi wake ndio mwamuonea wivu
Wenye maumbo yao kina Masogange ban,wema miguu kama ya bwanaake ndomo atupisheee
 
hivi jamani unadhani nani atamwonea wivu wema?.watu wanamwonea huruma kwasababu anatunika kwa domo.halafu wema sio msanii maarufu bongo kwa movie ngapi alizotoa zikabamba?kama shepu sio kigezo kabisa cha kuolewa ni tabia ya mtu.halafu wema hajaolewa anatumika tu na domo.msipende kumpabdikiza ujinga mkadhani mnamtetea kumbe mnampoteza.wema ametulia sasa kwasababu amefulia na domo mbahili aache kumpa mama ake pesa ampe wema.wema lazima awe mpole tu.atapata pesa ya mboga basi.hela za matanuzi asahau.domo si ck.

Dada yake esma kamfungulia duka, mama yake kamnunulia gari, ye mama ubaya anachakazwa uchi tu, yani kusoma hajui hata picha haoni? Wema ni kisu kwa kweli mtoto mashalah!! Japokuwa siku izi kazeeka , tatizo akili hana anaendekeza umaarufu na anasa
 
Tunalilia bahati uzuri hata Tausi anao weweee,tuache kumuonea wivu K lyn anakula bata na Mengi pesa ipo ya kutosha sio ya mawazo tumuonee Wema kwa lipiii haswaa nyie wabeba pochi wake ndio mwamuonea wivu
Wenye maumbo yao kina Masogange ban,wema miguu kama ya bwanaake ndomo atupisheee

Wema kiukweli ni mrembo,msomi na anajitambua tofauti sana na warumi na dinazande ambao wamekalia kumkandia x-miss Tanzania.
 
Mtu mwenyew wa kumuonea wivu ndomo? Clement alikuwa jembe yule , sio ndomo anamchakaz mama ubaya tu kumtunza hamtunzi mfyuu
 
Watutolee ujinga wao apa, ivi yule bwana ake dogo dogo mirror siku izi sijui yuko wap, nasikia dogo kamfaid sana mama ubaya yule

Naona kalitafuta kupaishwaaa kameona hakana jipyaa kamesepaaaa
 
Wema kiukweli ni mrembo,msomi na anajitambua tofauti sana na warumi na dinazande ambao wamekalia kumkandia x-miss Tanzania.

Wee sie unatujuaaa au unaropoka tu,msomi my pussy heee ,,kasoma ninii mbona yupo anasugua gaga tu,urembo upii warembo wanazaliwa washamfunikaaa
 
Wema kiukweli ni mrembo,msomi na anajitambua tofauti sana na warumi na dinazande ambao wamekalia kumkandia x-miss Tanzania.

Heaven on Earth njoo uku uone miujiza , nasikia mama ubaya nae siku izi msomi, sijui huo usomi ni kuongea kiingereza maana lolowapi mawazo yake yote kile kiingereza cha mama ubaya anajua mama ubaya ana phd , dah kumbe hili jamaa lishamba kwel, CV ya boss wake anayemtetea ata haijui

Ivi boss wako angekuwa msomi angehangaika kujidhalilisha kwa ndomo kutwa kulalwa na kudoea chakula cha watu kama kwao halili vile
 
Hahhhhhhhaaaaaaaaa huyo lolowapi mshamba kweliiii aiseeeeee ni noumaaaaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Dinazarde ebu msikie ndugu yako uku eti wema atulie kwenye ndoa, sijui ndoa ipi anayoizungumzia, ebu muulize crush wako

sheria inatamka wazi ukiishi na zigo miezi sita mfululizo hilo lako tena ushaoa hapo harusi ushaidi tu
 
Last edited by a moderator:
Jamani, kila mtu ndomo ndomo mara domo. Hebu kila mmoja wenu aweke picha ya domo lake kwenye avatar tuwaone! Si ajabu wengine mna madomo ka sufuria, lakini hapa mnashabikia mdomo wa mwenzenu utadhani mtu hujiumba mwenyewe! Muogopeni mungu, hujafa hujaumbika!

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Msomi ambaye elimu haijamsaidia kuondokana na ujinga????

Hiyo elimu mnayoizungumzia n elimu gani kwanza? Hana diploma wala degree yeyote, utamuitaje msomi? Au kiingereza chake kinawapaza
 
Back
Top Bottom