Najua mna wivu kwa sababu ameumbika na yupo na msanii maarufu bongo.tulia wema kwenye ndoa yako achana na manungayembe yanahangaika.
Ina maana hana majukumu
Kazi yake ni kupika tu???????
Ndio maana haoni umuhimu wa hotpot
hivi jamani unadhani nani atamwonea wivu wema?.watu wanamwonea huruma kwasababu anatunika kwa domo.halafu wema sio msanii maarufu bongo kwa movie ngapi alizotoa zikabamba?kama shepu sio kigezo kabisa cha kuolewa ni tabia ya mtu.halafu wema hajaolewa anatumika tu na domo.msipende kumpabdikiza ujinga mkadhani mnamtetea kumbe mnampoteza.wema ametulia sasa kwasababu amefulia na domo mbahili aache kumpa mama ake pesa ampe wema.wema lazima awe mpole tu.atapata pesa ya mboga basi.hela za matanuzi asahau.domo si ck.
Uwiiiii,nimecheka hadi machozi jamani kijambio cha mbuzi????
Tunalilia bahati uzuri hata Tausi anao weweee,tuache kumuonea wivu K lyn anakula bata na Mengi pesa ipo ya kutosha sio ya mawazo tumuonee Wema kwa lipiii haswaa nyie wabeba pochi wake ndio mwamuonea wivu
Wenye maumbo yao kina Masogange ban,wema miguu kama ya bwanaake ndomo atupisheee

Watutolee ujinga wao apa, ivi yule bwana ake dogo dogo mirror siku izi sijui yuko wap, nasikia dogo kamfaid sana mama ubaya yule
Wema kiukweli ni mrembo,msomi na anajitambua tofauti sana na warumi na dinazande ambao wamekalia kumkandia x-miss Tanzania.
Wema kiukweli ni mrembo,msomi na anajitambua tofauti sana na warumi na dinazande ambao wamekalia kumkandia x-miss Tanzania.
Heaven on Earth njoo uku uone miujiza , nasikia mama ubaya nae siku izi msomi, sijui huo usomi ni kuongea kiingereza maana lolowapi mawazo yake yote kile kiingereza cha mama ubaya anajua mama ubaya ana phd , dah kumbe hili jamaa lishamba kwel, CV ya boss wake anayemtetea ata haijui
Ivi boss wako angekuwa msomi angehangaika kujidhalilisha kwa ndomo kutwa kulalwa na kudoea chakula cha watu kama kwao halili vile
HAlafu ndo anataka kipwapwisp aiseeh kakwama , akajipange upya
Wema kiukweli ni mrembo,msomi na anajitambua tofauti sana na warumi na dinazande ambao wamekalia kumkandia x-miss Tanzania.