denzo washington
Member
- May 7, 2013
- 23
- 7
ninachompendea wema huweka mahusiano yake wazi kama ni kweli .tofauti na wengineo wanaruka huku upande wa pili wanakubali.
nakumbuka lulu alikanusha mbele ya salma jabit kuhusu mahusiano yake lkn alipokufa kanumba watu wakaripuka alikiwa mpenziwe.
kuweni wakweli bhana na sio kujificha ficha
.......ningekuwa na uwezo nami ningebeba walahi tena !
Wema asihukumiwe kwa 7bu ya umaarifu wke, ni mtu kama mm na ww hvo mahtaji tunayopaswa kpata nae haki yke ayapate!
Watu wa ajabu kwel, nanyiny mngekuwa mnaandikwa si mngeandamana make wapo kibao ata wanaomzidi wema!
MWACHENI WEMA, APUMUE JAMANI!
Daaaah, ubnadam kaaaaaaazi!