Wema tena

Wema tena

Wametoka wapi????? waache bhana hua haiiiishi ile na kwanini awe mchoyo???
 
Sawa tuu!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
ninachompendea wema huweka mahusiano yake wazi kama ni kweli .tofauti na wengineo wanaruka huku upande wa pili wanakubali.

nakumbuka lulu alikanusha mbele ya salma jabit kuhusu mahusiano yake lkn alipokufa kanumba watu wakaripuka alikiwa mpenziwe.
kuweni wakweli bhana na sio kujificha ficha
 
Mkuu,

Kwani wewe umemuelewa?
 
Kale kadada kanaelekea katamu kweli maana,ningekuwa na uwezo nami ningebeba walahi tena !
 
K ni sawa na glass ya bar au sahani ya Mama ntilie unatumia wewe inaoshwa anatumia mwingine haina shombo
 
Wema asihukumiwe kwa 7bu ya umaarifu wke, ni mtu kama mm na ww hvo mahtaji tunayopaswa kpata nae haki yke ayapate!
Watu wa ajabu kwel, nanyiny mngekuwa mnaandikwa si mngeandamana make wapo kibao ata wanaomzidi wema!

MWACHENI WEMA, APUMUE JAMANI!
Daaaah, ubnadam kaaaaaaazi!
 
Umaarifu ndo nini
 
Back
Top Bottom