Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
amtumie anauwezo huo?wakati dada ake mwenyewe kafulia karudi Houston alikokua anakudis.chezea LA wewe.nilijua watu wanadanganya kumbe kweli karudi halafu kanywea na kapauka kama kanga za ktm mbagala.alikua hajui......kabla hujavuka mto.watu wanafull data jamani atakoma.I lv jamii forum where we dare to talk openly.
Mi niliwaambiz anarudi houston wakabishaa,sasa anajifanya oooh mme wangu ana project hapa huoston four mounth teh teh tena yupo ukwenii teh teh, watu wanamjua kuliko ajijuavyo mfulio chezeaaa
