Wema: Ugonjwa wa ngozi umeniaribu

Mi niliwaambiz anarudi houston wakabishaa,sasa anajifanya oooh mme wangu ana project hapa huoston four mounth teh teh tena yupo ukwenii teh teh, watu wanamjua kuliko ajijuavyo mfulio chezeaaa
 
Mi niliwaambiz anarudi houston wakabishaa,sasa anajifanya oooh mme wangu ana project hapa huoston four mounth teh teh tena yupo ukwenii teh teh, watu wanamjua kuliko ajijuavyo mfulio chezeaaa

Aisee shosti ulisema ukweli mtupu hadi nili wonder heeh bidada sasa atapozaje nimeona project sijui nini dah
 
huo ni mwanzo tu lolz..
very soon utakuwa ka bi ch.u.
 
Mi niliwaambiz anarudi houston wakabishaa,sasa anajifanya oooh mme wangu ana project hapa huoston four mounth teh teh tena yupo ukwenii teh teh, watu wanamjua kuliko ajijuavyo mfulio chezeaaa
.huko ukweni nadhani anafanywa tu bekitatu.kwanza kachoka anaonekana tu anastress.Hiyo project miaka yote hii hakuwahi onyeshwa lol.naona kakosa cha kujitetea.show-off kwa hela za mwenzio tena w...te trash utasubiri sana.ni kama mama ubaya anavyosubiri pesa ya mr tandale
 
Hivi kwanini watu wasichague kuishi maisha bila ya presha za kijinga
 
weee Honey Faith, usisahau mi nlikuja Eid pili! Namjua Jumbe wa "Nachechemea"

Jumbe teja moja hivi alikuwa mwanaume wa Wema kabla ya Charlesbaba na Clement,duh!!niko madongo kuinama lkn umbea wa mjini sihaba.
 
Last edited by a moderator:
Jumbe teja moja hivi alikuwa mwanaume wa Wema kabla ya Charlesbaba na Clement,duh!!niko madongo kuinama lkn umbea wa mjini sihaba.

daaah nashukuru sana! hii data haikuwai kuwepo ktk dbms yangu! thanx Zamda Geuka
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…