Wema usikubali Diamond ahojiwe mwenyewe clouds tv akienda nenda nae mwaya

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Walahi namwonea wivu dada yangu wema

kuna dada anamhoji mmh kaachia mapaja mpaka namwonea huruma shemeji anavyojieleza macho yanalenga kusema anashindwa loh
mungu amtie nguvu amalizie salama kuhojiwa
 
Walahi namwonea wivu dada yangu wema

kuna dada anamhoji mmh kaachia mapaja mpaka namwonea huruma shemeji anavyojieleza macho yanalenga kusema anashindwa loh

mungu amtie nguvu amalizie salama kuhojiwa

we wakiume au wakike
 
Poleni jamani nampenda wema kama dada sipendi aachike na majaribu ya dunia
 
yaani kwa watu wasiokujua Pdidy watapata sana shida hahha

yaani wewe hahaahhaha unanichekesha sana mwanzo ulikua unaniuzi ila hii ndo tabia yako ni kama ngozi loh
 
Last edited by a moderator:
yaani kwa watu wasiokujua Pdidy watapata sana shida hahha

yaani wewe hahaahhaha unanichekesha sana mwanzo ulikua unaniuzi ila hii ndo tabia yako ni kama ngozi loh

hahaha ila ukimuelewa Pdidy raha sana mi siku hizi mwandiko wake haunipi shida kabisaaa tena siku hizi anajitahidi sana
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…