Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walahi namwonea wivu dada yangu wema
kuna dada anamhoji mmh kaachia mapaja mpaka namwonea huruma shemeji anavyojieleza macho yanalenga kusema anashindwa loh
mungu amtie nguvu amalizie salama kuhojiwa
Nakitafuta kile kidude cha like lakini sikionimi huwa nachukizwa sana na thread za kingese kama hii!
Poleni jamani nampenda wema kama dada sipendi aachike na majaribu ya dunia
mi huwa nachukizwa sana na thread za kingese kama hii!
naungana na wewe