Wema: Van vicker alichangia niachane na Diamond

Wema: Van vicker alichangia niachane na Diamond

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mrembo na mwigizaji wa filamu, Wema Sepetu amefunguka na kudai kuwa mwigizaji Van Vicker wa Ghana, alichania kwa kiasi flani, kupelekea aachane na aliekuwa mpenzi wake, Diamond.

Kwamujibu wa GPL,akizungumzia sababu za kumwagana na Diamond, alisema pamoja na sababu nyingine, Van Vicker alihusika kuwafanya wamwagane na mpenzi wake huyo waliyedumu kwenye penzi zito lililokuwa gumzo kila kona ya Bongo.

"Kuna vitu vingi vimechangia lakini Van pia amechangia,alianza ku-like picha zangu, nikamwambia Dai (Diamond),akaniambia achana naye, baadaye tulibadilishana namba,tukawa tunawasiliana.

"Ilipofika wakati amenitaka tufanye kazi pamoja,nilipomwambia Diamond ndiyo matatizo yalipoanzia hadi kufikia hatua ya kuachana," aliweka nukta Wema.
 

Attachments

  • 1420201352243.jpg
    1420201352243.jpg
    49 KB · Views: 3,080
watajaza kurasa za sababu lakini Chibu ameshawa-prove wrong wale wote waliokuwa wanaamini eti anatembelea nyota ya Wema! Yaani mtu anayeachia ngoma kila wakati atembelee nyota ya msanii ambae hata kazi yake ya mwisho imetoka lini haifahamiki....
 
Niko poaaaa nafurah kukuona tumeuvuka mwaka Bwana ashukuriwe,nilikuota unanipa vitasa duuuu

kati ya vitu siwezi na sijajaliwa na Mungu ni kupigana. yani siwezi na nikiona harufu ya ngumi huwa nakimbia. ila Mungu amenijalia mdomo usioogopa (pale mtu akinikwaza). so kuhusu vitasa itakuwa ndot ilikudanganya mpnz
 
kati ya vitu siwezi na sijajaliwa na Mungu ni kupigana. yani siwezi na nikiona harufu ya ngumi huwa nakimbia. ila Mungu amenijalia mdomo usioogopa (pale mtu akinikwaza). so kuhusu vitasa itakuwa ndot ilikudanganya mpnz
Safi sana mtoto mzuri... sema hata huo mdomo uwe wa wastani tu; umesikia enh!
 
Back
Top Bottom