Wema: Van vicker alichangia niachane na Diamond

uwiiii ebu nitoe tongo tongo mie...mwanamitindo gani tena wa uko dubai?? maana huu msimu wa christmas na mwaka mpya nimewaona mastaa wengi uku dubai ata sijui wamefuata nini, ebu nipe umbea kidogo nipekenyue

Yamwageni basiiiiiii
 
Mama yake yupo busy kumrudisha bintiye kwa Clement. Mama analalamika mwanae anaharibiwa na Mkongo anakula jicho tu. Mwaka ukifika hafai tena ni mwendo wa pampas jamani
 
uwiiii ebu nitoe tongo tongo mie...mwanamitindo gani tena wa uko dubai?? maana huu msimu wa christmas na mwaka mpya nimewaona mastaa wengi uku dubai ata sijui wamefuata nini, ebu nipe umbea kidogo nipekenyue

Binamu za Dubai lol. Huyo mwanamitindo anayeolewa sio flaviana matata kweli?
 
Back
Top Bottom