Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuachwa yeye ndo aliachaNi kawaida eneo ukipenda na ukaachwa lazima uumie. Hiyo ni kanuni ya maisha. Sisi wazee hatushangai.
Alitokisa kiberiti akatoswa.Hakuachwa yeye ndo aliacha
mmh ukipambana na ndomo jiandae kunywa ndimu maana sio kwa dongo lile aisehhKijana wa tandale akiongea neno moja tu yatosha ha ha ha ha
unafikir wanakuaga wapenz wake basi, show off nyingi tu, wema sasa hivi hana bwana permanent anagongwa na kila mtu, akiwaona akina zari na ndomo wametulia roho inamuuma manina zakeHuyu demu anawivu sana, kibaya ni kwamba haridhiki mara yule jamaa yake linah, luis munana, idris wote hao hawamtoshelezi atulie amwache king of afropop aendelee na maisha yake?
Nayapendaga majibu ya Diamond tu..
Teh teh teh teh😀😀
ItelChines fone!
Anafaa katika kipindi cha leo tena ama ajiunge na bi.chau maana ana majibu ya kidada sana,ingekuwa hekima kama angekaa kimya tu ila mjaa asili haachi asili na asili yake ndo iyo ..
AF mtu akiongea kitu na wewe ukamjibu kwa jazba,bhas ameongea kitu chenye ukweli ndani yake Ila wema nae hataki kukubali kuwa nyota yake inazima..birthday kila mwaka lakini sijui huwa anakua nini zaid ya kuhesabu namba
Hawataki awe huru. Ningekuwa na uwezo ningemuoa Wema kwa kweli nishaanza kumpendaila uswahili ni mbaya sana , tanzania hii kuna watu wamezaa watoto kibaooo ila yeye kumsifia mtoto wa esma wengine wanajihisi wamesemwa wao jaman
NI ugonvi wa maneno kati ya wema, Diamond na zari, wema alipost picha ya mtoto wa esma (dada wa diamond) akasifia kuwa mtoto ni mzuri sana kama pipi shabiki mmoja akauliza na tiffah? Wema akamjibu huyo shabiki "basi tungehama nchi" kwa ilivotafsiriwa kamaanisha huyo tiffah mtoto wa diamond angekua mzuri angehama nchi kwa direct maana tiffah ni mbaya, zari nae akatoa yake kuwa watu wasio na womanhood ndio wanaweza kumuita mtoto Mbaya..... Diamond ndo leo kamaliza kabisaaaa kaweka picha akiwa na mwanae akaandika "shika mimba uzae wako mzuri if you can" ligi ndo imefikia hapo hope umeelewa
Mbona sijaona kwenye page ya Diamond alipojibu? Au ni wafuasi wake a.k.a team
Hivi mkuu ww km mwanaume mwenzang, ukimuangalia Wema unamuonaga mzuri?Anafaa katika kipindi cha leo tena ama ajiunge na bi.chau maana ana majibu ya kidada sana,ingekuwa hekima kama angekaa kimya tu ila mjaa asili haachi asili na asili yake ndo iyo ..
AF mtu akiongea kitu na wewe ukamjibu kwa jazba,bhas ameongea kitu chenye ukweli ndani yake Ila wema nae hataki kukubali kuwa nyota yake inazima..birthday kila mwaka lakini sijui huwa anakua nini zaid ya kuhesabu namba