Wema we mzuri bana even without make up

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Wema we mkali bana, nimependa color yako ya sasa ivi kitu natural color, huyu ndiyo wema tuliyokuwa tukimtaka sasa, siyo yule wa ma wigi na rangi ambayo haieleweki. Nyie mnaomuita wema mama ubaya aya wekeni na nyie picha zenu mkinyoa upara halafu tuone, kama hatujakimbiana.
 
Mbona hapo amepaka make ups? ua make ups kwa hapo ulimaanisha mkorogo? Mimi ninavyojua amepaka make up but not heavy make ups.
 
hana chochote wakiitwa wenye natural color nae atoke nancy sumari atakuwa wapi afu kumbe na wewe ni team wema so umechukua nafasi ya bestizzo au petito alokula ujana na shil.million 4 siku moko sema shekh maana nilikuwa naiangalia vita yako na Kifesi maana team mama ubaya hawa patani na Kifesi
 

Sio kweli mkuu, hifuatiliag vizuri thread zangu. Mimi sina team. Nipo Mimi kama Mimi warumi aka Gossipcopwarumi
 
Last edited by a moderator:
dah..warumi hivi wema ni best yako au?
 
Mbona hapo amepaka make ups? ua make ups kwa hapo ulimaanisha mkorogo? Mimi ninavyojua amepaka make up but not heavy make ups.

Hajapaka bhana binamu we uoni mabaka baka usoni ?
 
Tena ule weusi wa pembeni umemuanza kwa mtu aliyejichubua na kuacha.


Atulie saasa aachane na scandals.. Mbona wenzie (Miss Tz) waliopita wapo wametulia? Sijui ni kwann habadiliki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…