Wema we mzuri bana even without make up

Wema we mzuri bana even without make up

Pesa hakuna ndo maana anapauka,labda za urithi wa dady(RIP),,Bt alikuwa mtoto wa nje,kina Aman watasimamia show
 
Pesa hakuna ndo maana anapauka,labda za urithi wa dady(RIP),,Bt alikuwa mtoto wa nje,kina Aman watasimamia show

Wema hayupo peke yake kwao wapo wa4 wote wakike wa mzee Sepetu nayeye ndo wa mwisho... labda wote hao wanne alizaa nje na mwanamke huyohuyo Miriam mama yao akina wema.

Alafu kwenye mirathi hakuna mtoto wa nje wala wa ndani wala wa jikoni wala wa sebuleni sheria inatambua watoto wote ni sawa utofauti upo kwenye ujane tu ambao mke wa zamani hapati kiu.
 
Umeishaona mdomo wake ulivyokaa. Mimi sioni uzuri wake.
 
Atulie saasa aachane na scandals.. Mbona wenzie (Miss Tz) waliopita wapo wametulia? Sijui ni kwann habadiliki.

Tatizo la Wema ni hili na nimemsoma mara nyingi tunakutana salon kwa Diana kino, ana wapambe ambao nao hamnazo.
Ni watu ambao wanamtumia yeye hajielewi, huwa wanampa kichwa acha tu.

Pia kujiona queen B hili ni tatizo kubwa sana kwake. Anataka akiwepo kokote wajue yupo na yeye ni special, ndio anafikia kufanya hayo.
Raha ya sasa bomba la hela now hakuna, heshima itarudi town kwa lazima.
 
Duuh...so unfortunate... hata mi nimeshindwa kuelewa hao wapambe wake wameshindwa kumshauri la maana.. too low.

Bora heshima irudi town maana dharau zilizidi
 
Hahahahaha. ckutarajia kucheka ucku huu.Iv kuna kalenda ya Ethiopia.?

Hahaaa ujawahi sikia wenzenu wa Ethiopia Millenium wamesherekea mwaka 2005 wakati sisi tulisherekea mwaka 2000 hahaha huenda wema anatumia hiyo calendar yao lol!
 
Binamu petit man wakuachee kala pesa za wemaa mbona hujatundikaaa banaaaa
 
Back
Top Bottom