La Princesa
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 1,049
- 1,160
Pesa hakuna ndo maana anapauka,labda za urithi wa dady(RIP),,Bt alikuwa mtoto wa nje,kina Aman watasimamia show
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa hakuna ndo maana anapauka,labda za urithi wa dady(RIP),,Bt alikuwa mtoto wa nje,kina Aman watasimamia show
Pesa hakuna ndo maana anapauka,labda za urithi wa dady(RIP),,Bt alikuwa mtoto wa nje,kina Aman watasimamia show
Bado kateenager hako!
Umeishaona mdomo wake ulivyokaa. Mimi sioni uzuri wake.
Warumi ina maana Matumbo alikusababishia ban?Sio kweli mkuu, hifuatiliag vizuri thread zangu. Mimi sina team. Nipo Mimi kama Mimi warumi aka Gossipcopwarumi
Teh yes si anatumia calenda ya ethiopia ambao kule kwao sasa hivi ni mwaka 2006.
Atulie saasa aachane na scandals.. Mbona wenzie (Miss Tz) waliopita wapo wametulia? Sijui ni kwann habadiliki.
Ahahahahahaaaaaa!!! umetisha mkuu.
Tatizo la Wema ni hili na nimemsoma mara nyingi tunakutana salon kwa Diana kino, ana wapambe ambao nao hamnazo.
Ni watu ambao wanamtumia yeye hajielewi, huwa wanampa kichwa acha tu.
Pia kujiona queen B hili ni tatizo kubwa sana kwake. Anataka akiwepo kokote wajue yupo na yeye ni special, ndio anafikia kufanya hayo.
Raha ya sasa bomba la hela now hakuna, heshima itarudi town kwa lazima.
Teh yes si anatumia calenda ya ethiopia ambao kule kwao sasa hivi ni mwaka 2006.
Dah na umri unamtupa mkono
ana miaka ishirini na mbili
Hahahahaha. ckutarajia kucheka ucku huu.Iv kuna kalenda ya Ethiopia.?
ana miaka ishirini na mbili
Hata akinibishia uchi nitakataa huo umri yani mwaka 2006 she waz 18 na 2014 still 22 anyway labda kwake siku zinaganda ila kwa Jide siku hazigandi.
Hata akinibishia uchi nitakataa huo umri yani mwaka 2006 she waz 18 na 2014 still 22 anyway labda kwake siku zinaganda ila kwa Jide siku hazigandi.