warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
- Thread starter
- #101
Sio fake bhana Sema hatupati taarifa mapema.. uwe unatuita tupambane pamoja
Binamu sio kweli bhana , mbona thread za udaku zikija mnashambulia hatari na wala siwaitagi ila za kupondwa ki ukweli lusungo apo umeongea kweli kabisa sionagi mtu yeyote nabaki mwenyewe yaani wanaonisaidia wengine halafu hata siwajuag , wapo ambao wananitetea ki ukweli .
Last edited by a moderator: