Sio fake bhana Sema hatupati taarifa mapema.. uwe unatuita tupambane pamoja
Kama adui yupiii???walaa we kwenye ligii niitee lakin kule siasanii nna ligii kabisaaa ya kule tuyaachee kulee tukija huku kama kawaaa
Itabidi aatumie nyota ya kijani sasa. Atawamaliza
Nawaonaga tu ukishambuliwa wanafurahia halafu huwa wanawamic maadui zako eti wanawapa raha watu viatu binamu
Akaaa ya kule nayaachaga kule kule
Aaaah aaah hili jeshi la mtu mmoja so msiogope mpaka wakae chini hao.
Hayana ukweliii banaa huyo #lusungo tunajuana kuna sehemu tulikutanaaa hahhhhahhha yeye binamu awe anatuitaa kwa pm tunakujaaa tatizo warumi akichukiaa anatusahau muda mwingine siee tupo mbaliiii
Yeye na money stuna wakiona pametuliaa wanaanza kuuliziaa hiv leo wachafuaa uzi wako wapiii tumewamisss hahhhhha hhhha mara ngapii tunaingiliaa weeee
awamalize saa ngapi huoni alivo kuwa kibibi hafu naonaga akirudianaga na domo mambo yake hayaendagi kabisa yanakuwa balaa
Kama vipi kama kawa mi nilishangaa tu ban heeee kumbe lile lenye avatar kama vempiree hilo nalijuaaa linajionaga lijinias wakati hovyo
Binamu sio kweli bhana , mbona thread za udaku zikija mnashambulia hatari na wala siwaitagi ila za kupondwa ki ukweli lusungo apo umeongea kweli kabisa sionagi mtu yeyote nabaki mwenyewe yaani wanaonisaidia wengine halafu hata siwajuag , wapo ambao wananitetea ki ukweli .
Yeye na money stuna wakiona pametuliaa wanaanza kuuliziaa hiv leo wachafuaa uzi wako wapiii tumewamisss hahhhhha hhhha mara ngapii tunaingiliaa weeee
Hahaahaaa....kumbe binamu na Money Stunna watundu..
Kuna yule mwingine ghafla kaanza kumfagilia HOD na ndomo daadeki anaandika sentensi fupi fupi tu hahahahahah ila bina acha usaliti
Hahahahaha taratibu bina tusifungue kurasa za nyuma tusubiri moya
Umeonaa eee tena watundu balaaaaaa wafatiliee tu utawaonaaa
Umeonaa eee tena watundu balaaaaaa wafatiliee tu utawaonaaa
Hahhhha halaf ushazoeaa ligiii wewe mamaeeeee