Teh teh teh nahisi lijalo litanifunga walahi
Hahhhhahhha sidhaniii
Wee nahic harufu ya jela inanirudia walahi
Kisa ninii tenaa hiv we ushakula ban ngapii mim moja tu hahhhahhha
For real n for sure alove sepetu's style of life
Ipi mkuu, ebu funguka iyo ya kupigwa pigwa na wanaume?
Heh!mbona kawa m-mama ana watoto wangapi kwani?
Maybe they are not compatible kinyota!!! Lol
na itakuwa hvo mmoja ana mchafulia mwenzake cjui ni domo
Hii mbaya Sana maana mmoja mambo yanavurugika haswa..
Too bad if so...
aisee kuna mmoja ana gundu ambalo linaleta balaa na Wema hata hashtuki namuonea hadi huruma sa iv kapaukaje
Watoto wake wapo choonii hua anawatunzia choonii
Kuna watu wana gunduu balaaaa.
la Wema ni mkosi wa njia panda
la Wema ni mkosi wa njia panda
gundu hana huyo tatizo n maisga ya sifa na wapambe wake ndio hao mabwabwa petit n martin ila cku zake zinahesabika kizaa cha wahongaji kinaenda kinapungua.ataanza kuuza papuchi kwa 10thou kma corner bar
ipi mkuu, ebu funguka iyo ya kupigwa pigwa na wanaume?