Wema we mzuri bana even without make up

madame anaporomosha matusi vibaya muno.....ni mabodigadi kila sehem wako nae

Sifa zinaua istoshe hata atukane vipi ms sent ila wakati hao gpl wanambeba mbna alikua hakukanusha, nw hela zimekata za kuwapa ndio anaenda kuleta fujo wamuandike hiyo inaitwa nitoke vipi.
Hivi wakti yuko n tid, kanumba, chalzbaba na lile teja jumbe c walimuandika mbna alikaa kimya, best sifa zinaua n ukishuka kupanda juu c rahisi

Hivi lile teja lake mbona halisikiki tena au liko jela
 
Was surprised too kwakwwli

Yani huyo kadinda n petit lady walikua wamelegea pale gpl kma mtori wa mzazi aliejifungua.hivi mwanaune unaenda mahali kwa ugomvi wa kike then unataka tuseme we wakiume
 
Yani huyo kadinda n petit lady walikua wamelegea pale gpl kma mtori wa mzazi aliejifungua.hivi mwanaune unaenda mahali kwa ugomvi wa kike then unataka tuseme we wakiume

Uuuwiii... eti petit lady.
 
Real wanaume tata yani walikua wanarembua eti unaongozana n chizi kwenda kufanya fujo.warumi yule teja jumbe yuko wapu
 
Huyu dada atapotea haraka sana kma anavisenti vyake afungue kamradi kake.mana bongo movie nayo imemshinda
 
Huyu bidada haba choice y wanaume naona kila daraja kapita nalo kifuatacho atakua n dreva wa bajaj mana gari atauza soon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…