Nana brain
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 488
- 367
[emoji102]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safari hii naona uzazi umegoma.
Leo February 9 kupitia kipindi cha LEO TENA kinachorushwa na CloudsFM Diamond Platnumz na mpenzi wake Zari walikuwa Mubashara kuzungumzia arobaini ya Mtoto wao Prince Nillan pamoja na hayo wameongelea mengine pia.
Zari na Diamond hawakuacha kujibu maswali yanayohusu Uhusiano wao kwenye mwezi huu wa Wapendanao, Zari aliyaongea mengi kuhusu Diamond na Diamond nae aliyaongea mengi kuhusu Zari.
“Hatujawahi kukaa tukazungumzia kuhusu ndoa siolewi sababu watu wanauliza lini mnaoana tutafanya hivyo tukipenda, mimi na Diamond hatuna mazoea ya kushikiana simu kila mtu na simu yake, mengine ni ya kawaida tu kwenye mahusiano hutokea”
“Nimempa password yangu ya Instagram Diamond anaweza kuingia akaperuzi na kufanya chochote kile, mimi na mama Diamond hatuna tofauti zozote tupo fresh tu ni maneno ya watu kutoka nje tu kwamba tumegombana” – Zari
“Namuomba Mungu Wema sepetu amalize tatizo lake salama na yeye tumemualika kwenye shughuli ya Prince NIllan Jumamosi, itakuwa ni siku ya kipekee kabisa kuanzia asubuhi na watakaofika ni wale wenye kadi za mialiko tu” – Zari
“Niwashukuru sana watu wa Media za nyumbani kuhakikisha kazi zangu kunifikisha hapa nilipo sasa….sababu ya mimi kufanya kazi na Unostudios nilikuwa nataka kazi zangu zifike mahali ambayo sikuwahi kufika kabla…..Mke wangu Zari hajawahi kukutana na Wema kabla, sasa hivi tumekua hatuna tofauti” – Diamond Platnumz
wasijidai wana roho nzuri sanaaaa....na hawapati ng'odooo[emoji23] [emoji23] [emoji23] tumeshawashtukia
Huyu aliedai kuwa mumewe akimrudia wema anaenda kuoga maji ya bahari leo anamsema vz Wema? Nitathibitisha Wema anavuta madawa akihudhuria hiyo fouty yao.Ndo ivo...mana wanatamani wangemualika Darasa aje kutumbuiza..hahaha..aliambiwa anatumia nyota Wema kabisha kiko wapi..
Umeona ehhh.... huyo mwanamke aliongea maneno mabaya sana. Leo hii eti ana roho nzuri....Huyu aliedai kuwa mumewe akimrudia wema anaenda kuoga maji ya bahari leo anamsema vz Wema? Nitathibitisha Wema anavuta madawa akihudhuria hiyo fouty yao.
Kama mambo yakienda sawa leo mahakamani ,wema sepetu akifanikiwa kupata dhamana kuna uwezekano mkubwa wa staa huyo kuhudhuria arobaini ya mtoto wa ex wake diamond platnums, akizungumza live ktoka clouds fm,diamond ametamka rasmi kuwa staa hyo ni miongoni mwa wageni waalikwa kwenye sherehe hyo, kwa upande wa zari nae amesema hana shida na ujio wa staa hyo ambaye waliwahi kuingia kwenye bifu kipindi cha nyuma. Kama kweli wema akifanikiwa kuhudhuria kwenye sherehe hyo itakua ndo mara ya kwanza kwa mafahari hao wawili kuonana, na itakua sherehe ya aina yake kwa uwepo wa mastaa hao waliowahi kuingia kwenye vita nzito na kurushiana maneno mtandaoni
Mambo ya wamama haya, halafu ni udaku, unachukulia serious!!Kwakuwa Wema ana vuta bangi na kichwa chake hakiko sawa ni vigumu kuwaka guarantee kama atakwenda au lah..
Kwa maneno ambayo amekuwa akisema na kusemwa ni vigumu kuamini kama anaweza kweli lakini una hitaji kuwa kichaa kubeti kuwa hatokwenda au lah.
Acha chuki weweHalafu kimasihara Liwema linaeza enda eti..
Full nundaaa...
kimyaaa....wamekujaaa..wamebebishanaa...kudekezana kimyaa..wasijidai wana roho nzuri sanaaaa....
Kutwa kumsema mwenzake kuwa hajaingia labour.....
Ptuuuu.....
Ohooooo!!![emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]wasijidai wana roho nzuri sanaaaa....
Kutwa kumsema mwenzake kuwa hajaingia labour.....
Ptuuuu.....
Ohooooo!!!mmh! nilivyosoma kichwa cha habari kuona 40 nikajua labda ya mtu aliyepoteza uhai!
hahahaah PROF NDUMILAKUWILI tehe tehe tehe, kweli tena nilivyosoma heading nilipatwa na kajimstuko kusoma habari yenyewe kumbe ni 40 ya kuzaliwa mtoto!Ohooooo!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahaah PROF NDUMILAKUWILI tehe tehe tehe, kweli tena nilivyosoma heading nilipatwa na kajimstuko kusoma habari yenyewe kumbe ni 40 ya kuzaliwa mtoto!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwakuwa Wema ana vuta bangi na kichwa chake hakiko sawa ni vigumu kuwaka guarantee kama atakwenda au lah..
Kwa maneno ambayo amekuwa akisema na kusemwa ni vigumu kuamini kama anaweza kweli lakini una hitaji kuwa kichaa kubeti kuwa hatokwenda au lah.
Wema mabhange [emoji23] [emoji23] [emoji23]We umeona mbali asee
Nillan 's 40 + Marry me vimebumaa mbaya..
Wa kuokoa jahazi ni Wema Msokoto manake ndo habaree ya mujini kwa sasa...
Huyo Zari ni mnafki sana. Mara ngapi kamtolea wema maneno ya kashifa? Eti leo hana ugomvi naye. Mara oohh was just an ex kwa Chibu and blah blah. Unafki tu. 40 na iyo Marry me imebuma wanakimbilia kwa WemaUmeona ehhh.... huyo mwanamke aliongea maneno mabaya sana. Leo hii eti ana roho nzuri....
Binadamu wanafki sanaaa....
Au ndo kumchora kama huko gerezan alitokwa na mapele ili apate jingne la kusema....