Wema, Zari kuonana 'live' kwenye arobaini ya Nillan

Safari hii naona uzazi umegoma.
 
Ndo ivo...mana wanatamani wangemualika Darasa aje kutumbuiza..hahaha..aliambiwa anatumia nyota Wema kabisha kiko wapi..
Huyu aliedai kuwa mumewe akimrudia wema anaenda kuoga maji ya bahari leo anamsema vz Wema? Nitathibitisha Wema anavuta madawa akihudhuria hiyo fouty yao.
 
Huyu aliedai kuwa mumewe akimrudia wema anaenda kuoga maji ya bahari leo anamsema vz Wema? Nitathibitisha Wema anavuta madawa akihudhuria hiyo fouty yao.
Umeona ehhh.... huyo mwanamke aliongea maneno mabaya sana. Leo hii eti ana roho nzuri....
Binadamu wanafki sanaaa....
Au ndo kumchora kama huko gerezan alitokwa na mapele ili apate jingne la kusema....
 
mmh! nilivyosoma kichwa cha habari kuona 40 nikajua labda ya mtu aliyepoteza uhai!
 
Kwakuwa Wema ana vuta bangi na kichwa chake hakiko sawa ni vigumu kuwaka guarantee kama atakwenda au lah..
Kwa maneno ambayo amekuwa akisema na kusemwa ni vigumu kuamini kama anaweza kweli lakini una hitaji kuwa kichaa kubeti kuwa hatokwenda au lah.
Mambo ya wamama haya, halafu ni udaku, unachukulia serious!!
 
Huyo diamond kama ana akili nzuri mwambieni huu siyo wakati wakufanya hayo makitu anayowaza kufanya;
 
Kwakuwa Wema ana vuta bangi na kichwa chake hakiko sawa ni vigumu kuwaka guarantee kama atakwenda au lah..
Kwa maneno ambayo amekuwa akisema na kusemwa ni vigumu kuamini kama anaweza kweli lakini una hitaji kuwa kichaa kubeti kuwa hatokwenda au lah.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umeona ehhh.... huyo mwanamke aliongea maneno mabaya sana. Leo hii eti ana roho nzuri....
Binadamu wanafki sanaaa....
Au ndo kumchora kama huko gerezan alitokwa na mapele ili apate jingne la kusema....
Huyo Zari ni mnafki sana. Mara ngapi kamtolea wema maneno ya kashifa? Eti leo hana ugomvi naye. Mara oohh was just an ex kwa Chibu and blah blah. Unafki tu. 40 na iyo Marry me imebuma wanakimbilia kwa Wema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…