Ndugu madokta naombeni msaada wenu...
Mimi ni kijana wakiume mwenye umri wa miaka 22, urefu cm 176, kiuno inch 32 kilo 55
Mimi ni mwembamba sana kiasi cha jamii kunishangaa hata kudai mm ni mrefu sana(nafikiri ni kwasababu ya wembamba)
Naombeni kufahamu je urefu niliotaja hapo juu na size ya kiuno vinaweza kushabihiana na uzito nilio nao?
pia naombeni mnisaidie namna nzuri yakuongeza mwili wangu kwani kifua changu nikidogo km cha mtoto ambaye hajabalehe bado.
Real najihisi inferior sana pindi niwapo na wenzangu kwani hunitania, kwakuniona dhaifu sana kiumbo na hata wakati mwingine kujihisi km nimekonda sana.
Historia ya maisha ya udogoni, wazazi wanadai nilizaliwa mwenye mwili mkubwa nanilikuwa hadi nilipofika umri wakwenda shule ndipo nilipoanza kuwa mwembamba.
Msaada wa haraka wataalamu kwani hata kisaikolijia nimejeruhiwa sana!