Wembamba huu unanifanya nijihisi dhaifu na mpweke sana

D 2de A

Senior Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
183
Reaction score
32
Ndugu madokta naombeni msaada wenu...

Mimi ni kijana wakiume mwenye umri wa miaka 22, urefu cm 176, kiuno inch 32 kilo 55

Mimi ni mwembamba sana kiasi cha jamii kunishangaa hata kudai mm ni mrefu sana(nafikiri ni kwasababu ya wembamba)

Naombeni kufahamu je urefu niliotaja hapo juu na size ya kiuno vinaweza kushabihiana na uzito nilio nao?

pia naombeni mnisaidie namna nzuri yakuongeza mwili wangu kwani kifua changu nikidogo km cha mtoto ambaye hajabalehe bado.

Real najihisi inferior sana pindi niwapo na wenzangu kwani hunitania, kwakuniona dhaifu sana kiumbo na hata wakati mwingine kujihisi km nimekonda sana.

Historia ya maisha ya udogoni, wazazi wanadai nilizaliwa mwenye mwili mkubwa nanilikuwa hadi nilipofika umri wakwenda shule ndipo nilipoanza kuwa mwembamba.

Msaada wa haraka wataalamu kwani hata kisaikolijia nimejeruhiwa sana!
 
Pole sana wewe kwa jinsi ulivyo na Mwanangu hamna tofauti ila Mwanangu amekuzii umri yeye ana Umri wa miaka 25 wewe una miaka 22. hakuna matatizo usipende kunenepa hakuna faida watu wanene wanataka kuwa wembamaba wakati wewe sio bado mwembamba unataka uwe mnene ili iweje? una matatizo ya kisaikolojia wewe. Kuwa mnene ni maradhi na sio vizuri kiafya ukita kuwa mnene. Kula kwa wingi vyakula vya mafuta ,kula cheece, kula chips kula ufuta mweupe gao moja kila siku kula ovyoovyo utanenepa U-Daktari umenishinda ninakupa Ushauri wa Negative.

Bibie huyu Bwana mdogo ana haraka ya maisha na unene inaonyesha anaupenda akingojea kukuwa atanenepa tu farkhina.
 
vyakula vulivyozidi mafuta nikila naendesha .akukojoa mafuta wadau sema jengine usigusie mafuta
 
Kwani unapata hasara gani kwa kuwa mwembamba? Mnahangaika sana vijana na mambo ambayo hata hayakuongezei lolote katika maisha yako!!!!

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
ah tupo weng mm pia age yang n 23 kilo 50 height 168,nliimba ushaur hapa jf ,ohh mara wengine kula sana,mara oh cjui uschelewe kulala mambo meng but hamna kitu nlitumia lishe za gharam sana kwa forevet lving bt hamn kitu,,,tusaidien wakuu
 
Hata mimi ni mwembamba sana, lakin sijawahi kujisikia vibaya kwa sababu ya wembamba wangu. Ingawa kuna muda watu wanakutania lakin huwa nachukiulia poa tu.
 
Kuna mahali uliambiwa ukiwa mnene hufi??? Jikubali bwana unene wa nin.wezio wanataman wawe wembemba wewe wataka kua mnene waswas wako upi hujui wembamba wa reli lakin.treni inapita
 
Hhahaha mkuu wembamba Wa reli treni inapita unamaanisha nini zaidi hapo??
 
hahahaaaa mtahangaika sana vijana, la muhimu ni kujikubali, kujitambua, kutafuta mafanikio yako, na kwa umri huo ni tamaa zinazokufanya utamani kuwa kama wengine. Me kipindi nasoma niliitwa majina kibaoo kama KONDE, AFYA MGOGOLO, KID, MOPA, kutokana na uchache wangu, hadi kumtongza demu nimemzidi umri lakini ananiambia we mtoto nakuonea huruma.... humu ndani kuna kijamaa kinaitwa Avatar mok
ni chembamba balaa kikipulizwa na upepo nahusi kinataka kudondoka.
 
Last edited by a moderator:
DO 2de A;
BMI yako iko chini, unapaswa kuongezeka.
-Kutokana na comment yako hapo juu, nachelea kuhisi pengine una tatizo la nyongo. Ndio maana unapata Steatorrhea (una harisha mafuta)
Hebu check rangi ya 'choo' chako. Je ni gray or pale?
Nenda hospital, waweza agizwa kupima vipimo mahsusi hasa vya ini.
 
Ndugu madokta naombeni msaada wenu...

Mimi ni kijana wakiume mwenye umri wa miaka 22, urefu cm 176, kiuno inch 32 kilo 55

Mimi ni mwembamba sana kiasi cha jamii kunishangaa hata kudai mm ni mrefu sana(nafikiri ni kwasababu ya wembamba)

Naombeni kufahamu je urefu niliotaja hapo juu na size ya kiuno vinaweza kushabihiana na uzito nilio nao?

pia naombeni mnisaidie namna nzuri yakuongeza mwili wangu kwani kifua changu nikidogo km cha mtoto ambaye hajabalehe bado.

Real najihisi inferior sana pindi niwapo na wenzangu kwani hunitania, kwakuniona dhaifu sana kiumbo na hata wakati mwingine kujihisi km nimekonda sana.

Historia ya maisha ya udogoni, wazazi wanadai nilizaliwa mwenye mwili mkubwa nanilikuwa hadi nilipofika umri wakwenda shule ndipo nilipoanza kuwa mwembamba.

Msaada wa haraka wataalamu kwani hata kisaikolijia nimejeruhiwa sana!

Wewe uko power kabisa ukicheki "Body Mass Index" Utaona wewe uko fresh tu!

Hebu Jaribu ku-google uone!
 
Ndugu madokta naombeni msaada wenu...

Mimi ni kijana wakiume mwenye umri wa miaka 22, urefu cm 176, kiuno inch 32 kilo 55

Mimi ni mwembamba sana kiasi cha jamii kunishangaa hata kudai mm ni mrefu sana(nafikiri ni kwasababu ya wembamba)

Naombeni kufahamu je urefu niliotaja hapo juu na size ya kiuno vinaweza kushabihiana na uzito nilio nao?

pia naombeni mnisaidie namna nzuri yakuongeza mwili wangu kwani kifua changu nikidogo km cha mtoto ambaye hajabalehe bado.

Real najihisi inferior sana pindi niwapo na wenzangu kwani hunitania, kwakuniona dhaifu sana kiumbo na hata wakati mwingine kujihisi km nimekonda sana.

Historia ya maisha ya udogoni, wazazi wanadai nilizaliwa mwenye mwili mkubwa nanilikuwa hadi nilipofika umri wakwenda shule ndipo nilipoanza kuwa mwembamba.

Msaada wa haraka wataalamu kwani hata kisaikolijia nimejeruhiwa sana!
Wewe ni kaka wa fidodido au mdogo wa FIDO DIDO? Niambie nikupe dawa.
 
ha ha ha wembemba! wadau kuna mlitusaidia coz mm sasa najiskia comfortable na nipo vizuri hata sasa najiona bonge nafikiri mindi ilikuwa deteriorated na mabezo na mawazo ya watu
 
ewee uliyemwembamba kama mm ukitaka usidharaulike nakutaniwa na watu jitahidi kufanya mazoezi mwili uwe changamfu coz ukinyikunyata tuu utaonekana kama piriton

ofcourse km nilivyosema mm ni mwembamba sana but nikikaa na watu wembamba km mm au hata km wamenizidi unene kidogo bado mm naonekana kipande cha baba coz muda mwingi najiamini afu nimechangamka, sana

huu ushauri ni mdogo ila uchangamfu na uchezi utakufanya uwe mtu wa tofauti, jione km unaweza kubeba hata kilo 300 kwa huo wembamba wa kilo zako 50!
 
DO 2de A;
BMI yako iko chini, unapaswa kuongezeka.
-Kutokana na comment yako hapo juu, nachelea kuhisi pengine una tatizo la nyongo. Ndio maana unapata Steatorrhea (una harisha mafuta)
Hebu check rangi ya 'choo' chako. Je ni gray or pale?
Nenda hospital, waweza agizwa kupima vipimo mahsusi hasa vya ini.

yaani mkuu choo kipo kawaida kulingana na aina ya chakula nilichokula ila nakiona kipo grey pia vipimo nimefanya hadi sio vizuri mkuu but nitajaribu kumwona tena dokta thank sana mkuu kwa ushauri
 
Back
Top Bottom